Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Hahaha!!!! cha kwanza nenda kwenye menu bonyeza kwenye options baada ya options nenda kaclick gameplay, katoe tick kwenye fatigue simulation ili uondoe usingizi wa kulala barabarani yani utoboye usiku kucha mchana wote safari unayoenda kwenye ramani ya Puno peru maana ukilala unatumia muda mwingi na speed ya kule unaenda kwa kunyata pia toa tick ya traffic offense na pia weka mod ya no damage. Ukifanya hayo kikamilifu utafika popote kwenye ramani ya Puno peru
 
Hilo la 2 limekubal kwako? Kuna lile la mwanzo silion...ngoja nijarbu usiku Leo hilo la 2.9
bado yanagoma yote lkn la 2gb ndio linakimbia mpaka sasa nipo 91%
 
hiyo No Damage ndio sijawahi kutana nayo, na Fatigue naenda ing'oa sasa hivi Download ikiimaliza
sasa matairihayatulii yanateleza napitwa km kiwete, au kuna yenye kashata mnaweka wenzetu, tairi ata kwenye mawe haliwezi
 
Baba naona upo na scania
 
 

Attachments

  • ets2_20191102_001436_00.png
    1.7 MB · Views: 2
  • ets2_20191102_002435_00.png
    1.4 MB · Views: 4
  • ets2_20191101_075851_00.png
    1.7 MB · Views: 2
Yani bus refu kuliko kona
 
mzee ukakwama wap ?? weka mod ya xp and money, yan apa nina million mia tano af niko level ya 8690, ni hatar tupu
 
Map nyingine chaka poli hii hapa


Sema ni 1.31 hadi 1.34 ila nataka nijarbu kibish kweny 1.35
 
dah kazuri ila kadogo kinyama, na volvo yangu naimaliza ndani ya dk 0, ila map za indonesia zinakua za ukweli

kuna ile ya kitambo inaitwa Jateng, maeneo flani ivi kuna mawe meupe meupe kama truck hujai mod chassis iwe juu, utapata shida sana
 
dah kazuri ila kadogo kinyama, na volvo yangu naimaliza ndani ya dk 0, ila map za indonesia zinakua za ukweli

kuna ile ya kitambo inaitwa Jateng, maeneo flani ivi kuna mawe meupe meupe kama truck hujai mod chassis iwe juu, utapata shida sana
Jateng nakumbuka..ila ilikua inaniboa steering kukaa kulia...

Vip hiyo ya juu hapo ulicheza mweny version ipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…