Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Tena ni OPEN-PIPE inanguruma km mnyama, na gearbox la bei ghali, mbona hicho kichwa/tractor kilikuwa kinaruka hewani km swala? nikivuta tela basi ni mweleka na kuchelewa kufika, pesa yenyewe nilikopa Bank, si wakaninyang/anya mbichwa wao, nikaanza chini taratibu, tena nachagua barabara zisizo na milima, km kule Puno nikavuta mkwanja upya na kujiongezea % ktk kutalii ramani
ngoma mbona tyre zinateleza kwenye theluji ninyi mnavukaje
Puno Peru kiboko bora Brazil
Hahaha!!!! cha kwanza nenda kwenye menu bonyeza kwenye options baada ya options nenda kaclick gameplay, katoe tick kwenye fatigue simulation ili uondoe usingizi wa kulala barabarani yani utoboye usiku kucha mchana wote safari unayoenda kwenye ramani ya Puno peru maana ukilala unatumia muda mwingi na speed ya kule unaenda kwa kunyata pia toa tick ya traffic offense na pia weka mod ya no damage. Ukifanya hayo kikamilifu utafika popote kwenye ramani ya Puno peru
ets2_20191110_142242_00.png
ets2_20191110_152500_00.png
 
Hilo la 2 limekubal kwako? Kuna lile la mwanzo silion...ngoja nijarbu usiku Leo hilo la 2.9
bado yanagoma yote lkn la 2gb ndio linakimbia mpaka sasa nipo 91%
 
Hahaha!!!! cha kwanza nenda kwenye menu bonyeza kwenye options baada ya options nenda kaclick gameplay, katoe tick kwenye fatigue simulation ili uondoe usingizi wa kulala barabarani yani utoboye usiku kucha mchana wote safari unayoenda kwenye ramani ya Puno peru maana ukilala unatumia muda mwingi na speed ya kule unaenda kwa kunyata pia toa tick ya traffic offense na pia weka mod ya no damage. Ukifanya hayo kikamilifu utafika popote kwenye ramani ya Puno peru
hiyo No Damage ndio sijawahi kutana nayo, na Fatigue naenda ing'oa sasa hivi Download ikiimaliza
sasa matairihayatulii yanateleza napitwa km kiwete, au kuna yenye kashata mnaweka wenzetu, tairi ata kwenye mawe haliwezi
 
Baba naona upo na scania
Hahaha!!!! cha kwanza nenda kwenye menu bonyeza kwenye options baada ya options nenda kaclick gameplay, katoe tick kwenye fatigue simulation ili uondoe usingizi wa kulala barabarani yani utoboye usiku kucha mchana wote safari unayoenda kwenye ramani ya Puno peru maana ukilala unatumia muda mwingi na speed ya kule unaenda kwa kunyata pia toa tick ya traffic offense na pia weka mod ya no damage. Ukifanya hayo kikamilifu utafika popote kwenye ramani ya Puno peruView attachment 1259532View attachment 1259534
 
[kweli hapa umenishawish kesho natinga puno peru na scania bus langu
 
Attachments

  • ets2_20191102_001436_00.png
    ets2_20191102_001436_00.png
    1.7 MB · Views: 2
  • ets2_20191102_002435_00.png
    ets2_20191102_002435_00.png
    1.4 MB · Views: 4
  • ets2_20191101_075851_00.png
    ets2_20191101_075851_00.png
    1.7 MB · Views: 2
Hahaha!!!! cha kwanza nenda kwenye menu bonyeza kwenye options baada ya options nenda kaclick gameplay, katoe tick kwenye fatigue simulation ili uondoe usingizi wa kulala barabarani yani utoboye usiku kucha mchana wote safari unayoenda kwenye ramani ya Puno peru maana ukilala unatumia muda mwingi na speed ya kule unaenda kwa kunyata pia toa tick ya traffic offense na pia weka mod ya no damage. Ukifanya hayo kikamilifu utafika popote kwenye ramani ya Puno peruView attachment 1259532View attachment 1259534
mzee ukakwama wap ?? weka mod ya xp and money, yan apa nina million mia tano af niko level ya 8690, ni hatar tupu
 
Map nyingine chaka poli hii hapa

Sema ni 1.31 hadi 1.34 ila nataka nijarbu kibish kweny 1.35
 
dah kazuri ila kadogo kinyama, na volvo yangu naimaliza ndani ya dk 0, ila map za indonesia zinakua za ukweli

kuna ile ya kitambo inaitwa Jateng, maeneo flani ivi kuna mawe meupe meupe kama truck hujai mod chassis iwe juu, utapata shida sana
 
Jateng nakumbuka..ila ilikua inaniboa steering kukaa kulia...

Vip hiyo ya juu hapo ulicheza mweny version ipi?
 
Back
Top Bottom