The coolest jw
JF-Expert Member
- Dec 2, 2016
- 705
- 1,082
Hahaha!!!! cha kwanza nenda kwenye menu bonyeza kwenye options baada ya options nenda kaclick gameplay, katoe tick kwenye fatigue simulation ili uondoe usingizi wa kulala barabarani yani utoboye usiku kucha mchana wote safari unayoenda kwenye ramani ya Puno peru maana ukilala unatumia muda mwingi na speed ya kule unaenda kwa kunyata pia toa tick ya traffic offense na pia weka mod ya no damage. Ukifanya hayo kikamilifu utafika popote kwenye ramani ya Puno peruTena ni OPEN-PIPE inanguruma km mnyama, na gearbox la bei ghali, mbona hicho kichwa/tractor kilikuwa kinaruka hewani km swala? nikivuta tela basi ni mweleka na kuchelewa kufika, pesa yenyewe nilikopa Bank, si wakaninyang/anya mbichwa wao, nikaanza chini taratibu, tena nachagua barabara zisizo na milima, km kule Puno nikavuta mkwanja upya na kujiongezea % ktk kutalii ramani
ngoma mbona tyre zinateleza kwenye theluji ninyi mnavukaje
Puno Peru kiboko bora Brazil