Wakujilipua
JF-Expert Member
- May 5, 2018
- 1,584
- 1,393
sasa tutaenda pamoja km umekubali kuongeza RAMKesho panapomajariwa ya mungu ntashusha mzigo
kelphin kepph
Leo nitacheza nitaleta mshindonyuma hapa.jamani za mwaka mpya member wa ETS-2 Heri ya 2020
kwa leo New year ndio nimeweza wahisha mzigo toka Pantana mpaka Hondutopia bila LATE
jamaa yetu @JOAQUEM piga trip ndogondogo ukipata pesa nunua Truck la kawaida gereji km MAN halafu ingia Map World chagua mji wa mwisho weka TIK kwenye GPS pale juu kulia halafu lipeleke Truck tupu km alivyosema kcamp kule utapata gari ya maana na kubwa pia mzigo wa root nzima wenye hela
ukipiga nusu trip wanakuua wanatoa masaa 9 km remaing Time wakati ni mwendo wa masaa 12 huwezi wahi
kuhusu mafuta kuna option chumba cha pili ni refueling, lkn usitumie garage tumia SAVE&LOAD kwa sababu unacheleweshwa njiani sana na kuanguka lazima mafuta yaishe
Mkuu naifutaje hiyosasa tutaenda pamoja km umekubali kuongeza RAM
ikisuasua ongeza angalau ufikie 6GB
halafu kuna kamchezo ka Steam, bila kukadelete hako kanakula Game unaweza kwenda kwa mafundi wakawa wanapiga window upya kumbe kazi ndogo tu ni kukadelete
mkuu k camp naomba unielekeze kitu kimoja hapa nimesha download harsh russia baikal r20 sasa nahitaji kuiinstall kwa maelekezo waliyo yatoa ni hivi et ni disable or derete scandnavia and going east dlc sasa je ninazifutaje hizi dlc. nitashukulu kwa msaada wako
Mkuu link hyo imeznguaHahah hii mitope yake hatar...sema hii watu wacheze private tu...hapa mwendo wa ets 2 tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu link hyo imezngua
kelphin kepph
Ushamba mzigo[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849] ndo inaingiaView attachment 1309046
kelphin kepph
Map ya wap hiHatimae nimepanda level na mipesa ya kumwagaaa.
Ila hii map kiboko bhana.
ni mwendo wa save and load tu, mambo ya gereji tupa kule.
View attachment 1309170View attachment 1309171View attachment 1309172View attachment 1309173
Hongera Mkuu, sasa hu Mji wa Le mans achana nao maana muda wanaoutoa lazima utaLATEHatimae nimepanda level na mipesa ya kumwagaaa.
Ila hii map kiboko bhana.
ni mwendo wa save and load tu, mambo ya gereji tupa kule.
View attachment 1309171
Leo nitacheza nitaleta mshindonyuma hapa.
kcamp Hii vipi?. Naweza nika-install na kuicheza?
Game likishakubali huwa kuna ka Steam kanatokea mara kwa mara mm kalinitesa sana nilibeba mashine kwa mafundi wa Computer na kupiga Window nikaweka RAM mpaka 8GB kumbe humuhumu Jukwaani mafundi kibao unaweza kukuta na wewe inakutokea mashine inakukosesha rahaMkuu naifutaje hiyo
kelphin kepph
haina hata 1MbMap ya wap hi
kelphin kepph
hongera sana 👋👋Hatimae nimepanda level na mipesa ya kumwagaaa.
Ila hii map kiboko bhana.
ni mwendo wa save and load tu, mambo ya gereji tupa kule.
View attachment 1309170View attachment 1309171View attachment 1309172View attachment 1309173
mkuu umenikumbusha mwaka jana, steam iliwahi kunikosesha raha wiki nzima. ukizingatia pc ndo kwanza nimetoka kuinunuaGame likishakubali huwa kuna ka Steam kanatokea mara kwa mara mm kalinitesa sana nilibeba mashine kwa mafundi wa Computer na kupiga Window nikaweka RAM mpaka 8GB kumbe humuhumu Jukwaani mafundi kibao unaweza kukuta na wewe inakutokea mashine inakukosesha raha
Computer - Local disk - User - Public - Public Document - Steam yaani hapo mDelete Steam mfuate tena Dustbin kamdelete
cheza game usiwapelekee mafundi waipige Window hawataweza
rudia kila mara karibu 2020 Karibu Hondulandia