Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

mkuu k camp naomba unielekeze kitu kimoja hapa nimesha download harsh russia baikal r20 sasa nahitaji kuiinstall kwa maelekezo waliyo yatoa ni hivi et ni disable or derete scandnavia and going east dlc sasa je ninazifutaje hizi dlc. nitashukulu kwa msaada wako
 
Kesho panapomajariwa ya mungu ntashusha mzigo
kelphin kepph
sasa tutaenda pamoja km umekubali kuongeza RAM
ikisuasua ongeza angalau ufikie 6GB
halafu kuna kamchezo ka Steam, bila kukadelete hako kanakula Game unaweza kwenda kwa mafundi wakawa wanapiga window upya kumbe kazi ndogo tu ni kukadelete
 
jamani za mwaka mpya member wa ETS-2 Heri ya 2020
kwa leo New year ndio nimeweza wahisha mzigo toka Pantana mpaka Hondutopia bila LATE
jamaa yetu @JOAQUEM piga trip ndogondogo ukipata pesa nunua Truck la kawaida gereji km MAN halafu ingia Map World chagua mji wa mwisho weka TIK kwenye GPS pale juu kulia halafu lipeleke Truck tupu km alivyosema kcamp kule utapata gari ya maana na kubwa pia mzigo wa root nzima wenye hela
ukipiga nusu trip wanakuua wanatoa masaa 9 km remaing Time wakati ni mwendo wa masaa 12 huwezi wahi
kuhusu mafuta kuna option chumba cha pili ni refueling, lkn usitumie garage tumia SAVE&LOAD kwa sababu unacheleweshwa njiani sana na kuanguka lazima mafuta yaishe
 
Leo nitacheza nitaleta mshindonyuma hapa.

Sent from my SM-G532F using Tapatalk
 
sasa tutaenda pamoja km umekubali kuongeza RAM
ikisuasua ongeza angalau ufikie 6GB
halafu kuna kamchezo ka Steam, bila kukadelete hako kanakula Game unaweza kwenda kwa mafundi wakawa wanapiga window upya kumbe kazi ndogo tu ni kukadelete
Mkuu naifutaje hiyo

kelphin kepph
 
Hapo balaa... download app ya steam kwanza ndio nikuelekeze
mkuu k camp naomba unielekeze kitu kimoja hapa nimesha download harsh russia baikal r20 sasa nahitaji kuiinstall kwa maelekezo waliyo yatoa ni hivi et ni disable or derete scandnavia and going east dlc sasa je ninazifutaje hizi dlc. nitashukulu kwa msaada wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushamba mzigo[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849] ndo inaingia
1577859091250.jpeg

kelphin kepph
 
Hatimae nimepanda level na mipesa ya kumwagaaa.
Ila hii map kiboko bhana.
ni mwendo wa save and load tu, mambo ya gereji tupa kule.
View attachment 1309171
Hongera Mkuu, sasa hu Mji wa Le mans achana nao maana muda wanaoutoa lazima utaLATE
Nenda Map World (bonyeza M keyboard) kaTIK Mji uliopo (1) halafu kaweke tena TIK (2) mwisho wa ramani, nenda hivyohivyo bila Teller kwa SAVE&LOAD kule kanunue mashine kubwa km Volvo Globettroter ipe mashine kubwa ya mwisho na ichagulie gear box kubwa, chasis chukua double axle (Mende) utafurahi kwani utaweza pita madaraja na reli km upepo na kumaliza root bila ya LATE
 
Leo nitacheza nitaleta mshindonyuma hapa.
1577892621403.png

kuna vichaa na waendesha baiskeli wanakaa barabarani ktk Hondolia p/se usiwakwepe pamia tu, ukimkwepa wewe ndiye utaenda gereji maana utajitupa bondeni futi hazihesabiki.
Siri ingine usiwaambie kule Facebook tumia Zoom kubwa kwenye F5 ile itakuonesha km upo katika barabara yako hasa kwenye maji au milima hatari, ukibaki kwenye 6 Camera ya bumper hapo chini mwendo utaongezeka karibu 2020 tusubiri maGame mengine wanatuwekea jamaa km Kibaha - Mikumi
 
Mkuu naifutaje hiyo
kelphin kepph
Game likishakubali huwa kuna ka Steam kanatokea mara kwa mara mm kalinitesa sana nilibeba mashine kwa mafundi wa Computer na kupiga Window nikaweka RAM mpaka 8GB kumbe humuhumu Jukwaani mafundi kibao unaweza kukuta na wewe inakutokea mashine inakukosesha raha
Computer - Local disk - User - Public - Public Document - Steam yaani hapo mDelete Steam mfuate tena Dustbin kamdelete
cheza game usiwapelekee mafundi waipige Window hawataweza
rudia kila mara karibu 2020 Karibu Hondulandia
 
mkuu umenikumbusha mwaka jana, steam iliwahi kunikosesha raha wiki nzima. ukizingatia pc ndo kwanza nimetoka kuinunua
 
Back
Top Bottom