Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Hata mm
Hapo sasa mtihan mkuu...hebu load mod alaf nione hiyo map inavyotokea hapo
ananichanganya
huenda mashine yake ikawa na RAM ndogo
huwezi ukaingiza Game kwenye Mod halafu ukaliingiza kwenye profile kule likakatae, likupe Ramani nyepesi
 
Hivi hapo mnapitaje mi nazama kila muda
km alivyosema kcamp hiyo Navigation hapo kulia chini inayokuongoza Lori lako jaribu kuiZOOM-IN (ili iwe kubwa na karibu) unaweza ukabonyeza #3 ili ulione lorry kwa chini
sasa fuata rangi nyekundu usiiache,
kwa mtindo huu utamaliza Hondulandia sehemu hatarishi
 
Mkuu hv inawezekana PC ikakataa kuenable mods? Maybe coz of low specs labda? Maana nna hio ETS2 lastest version, na nkiweka mods haitaki kuload kabisa... Nmejaribu hio map ya holulandia bila mafanikio.
Kwenye mod manager naziona kabisa, naselect mod husika, naconfirm changes but nkicreate profile mpya inaload stock map..
Pale sehem ya kuselect playing module haikubali, yaan huwez select chochote (in case kama ni stand alone).
Sasa sjui tatizo ni nn au mm nakwama wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
hebu tupe uwezo wa mashine
km RAM etc
km una wasiwasi na mafaili kujaa punguza kwa %Temp% delete, Dustbin pia check Steam
 
Haya sasa Leo nawaleteeni. Kitu hiki hapa. Yaani ni baraa Sana. Ni Kama hondulandia.View attachment 1328547
ets2_20200118_125553_00.jpeg
ets2_20200118_150634_00.jpeg
ets2_20200117_233205_00.jpeg
ets2_20200119_171558_00.jpeg
ets2_20200119_130559_00.jpeg
ets2_20200120_115824_00.jpeg
ets2_20200117_225149_00.jpeg
ets2_20200119_152402_00.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • ets2_20200118_120951_00.jpeg
    ets2_20200118_120951_00.jpeg
    50.8 KB · Views: 3
hebu tupe uwezo wa mashine
km RAM etc
km una wasiwasi na mafaili kujaa punguza kwa %Temp% delete, Dustbin pia check Steam
RAM 4GB Mkuu...

Hio stem nacheck vipi? Labda hapo ndo kuna shida... Naztaman sana hizo Mod nkifanikiwa ntashukuru sana.
Screenshot%20(168)_1.jpeg
 
Aisee weka link chap acha stor nyingi

Yani huu mzgo ni honduland remix[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nmeweka passenger mod ila pale kwenye trailer manager siioni

kelphin kepph
 
Huu mzgo wa 1.35 au 1.36 ? Kweny 1.36 miji yote inacrash tu haichezi..nmechoma bando langu
Mm bado natumia 1.35 version Game limefunguka
lkn sio la Australia linatumia Map ya Europa na majina ya bandia yasiyojulikana
unajua hawa Developer kila mtu anatupia kitu chake sasa wanashindwa kukamilisha Map zao wanatumia zilezile za Europa
ile mitikisiko km Hondulandia bado sijaifikia nipo level 40
Hondulandia bado sijaona mpinzani kwa mwaka huu 2020
 
Back
Top Bottom