kcamp
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 8,517
- 7,984
- Thread starter
- #1,621
Daa Bora yako ..mim nmepakua kumbe sio la 1.36Mm bado natumia 1.35 version Game limefunguka
lkn sio la Australia linatumia Map ya Europa na majina ya bandia yasiyojulikana
unajua hawa Developer kila mtu anatupia kitu chake sasa wanashindwa kukamilisha Map zao wanatumia zilezile za Europa
ile mitikisiko km Hondulandia bado sijaifikia nipo level 40
Hondulandia bado sijaona mpinzani kwa mwaka huu 2020
Honduland mwisho wa lami mkuu [emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app