Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna mkuu..labda ukacheze indonesia bus simulator
Daaah...mkuu kwamba nilifute nidowload tena upya...gb6 sio mchezo nikiwaza nimelicheza mara moja tuKwann usifute hilo,then extract upya ,
Ebu Go to Users/Public/Public Documents/Steam ---> Delete SteamAnhaa...kwaiyo uki click play hakitokei kitu?
Mkuu kcamp na mm nisaidie nimemaliza kulishusha kwa TorrentVersion yako ha zaman sana mkuu..njoo 1.34 ndio upate mods latest ikiwemo ya horsepower
Umepakua la gb ngap?Mkuu kcamp na mm nisaidie nimemaliza kulishusha kwa Torrent
nianzie wapi maana ulisema kuna ku crack
View attachment 1084284
imepakua lilelile la 1.34 la 2.8GbUmepakua la gb ngap?
Mbona unatumia old version
Hamia 1.33 au 1.34
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Ni update tu ya kawaida hiyo1.34 bado mkuu
Nina win rar ina maana imejichanganya au nimdownload kitu kingineAlaf hiyo si iso? Itabid umount image hiyo kwanzza
Si una winrar kwako?
Nina win rar ina maana imejichanganya au nimdownload kitu kingine
ndio hapo sasa nalifungulia wapi Mkuu ina maana nikapitie kule Download ambako sikulionaInstall upya hiyo winrar alaf uta tick na ISO pale kwenye file extension ndio utaweza sasa ku extract hilo game...hujajichanganya wala nn mkuu..hiyo ndo procedure
Au jarbu kulifungua uone linafunguka.?
hii thread ni ya 2017 na ndio nimeiona, swali ni hiyo post ya kwanza kama hizo links bado zipo active?Link ipii
Apo ndipo nilipoishia mkuu nikiclik tu inaishia apoEbu Go to Users/Public/Public Documents/Steam ---> Delete Steam
Kaplay game ---> Create profile ---> af kwenye option ya use steam wewe Uncheck "Use Steam Cloud"...usishau hapo ku unchek use steam ndio uchawi ulipo..kisha game itacheza fresh
Apo ndipo nilipoishia mkuu nikiclik tu inaishia apoView attachment 1084919