Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Hapana mkuu ni katika pirikapirika za kutafuta hizo mods za engine power...mimi napenda scania na sio bus

Ingines za kibabe weka hyo mods
 
Rims sports kaliii

Weka hii mods

Ingines za kibabe weka hyo mods
Hope hii itakata ngebe za vile vigari vidogo ambavyo vinanipita kama upepo......
 
Nakwambiaje tena kama huna mzgo basi utapaaa
[emoji28][emoji28][emoji28] hivi vigari vilikuwa ni shida....yaan vinaweza vikakupita vikarudi bado tu uko njiani....
Dawa yao nilikuwa nablock njia tu...
 
Acha mkuu,mim havikai mbele yangu
[emoji28][emoji28][emoji28] hivi vigari vilikuwa ni shida....yaan vinaweza vikakupita vikarudi bado tu uko njiani....
Dawa yao nilikuwa nablock njia tu...
 
nili install mod ya gari dogo lakini naona huwez kuwa na mission za kupata hela zaidi ya kuzurura mitaani. Je Niki install mod ya bus nnaweza kupata mishe ya ku make money?
tumia cheat engine upate hela kama shida ni hela 😉
 
Mkuu naomb link za mods za map zeny rough road ampazo zina function kweny version 1.34

Anza na hyo sema ni kubwa ila kuna baadhi ya miji ina hzo barabara

Especially bolivia chini kule
 
Anza na hyo sema ni kubwa ila kuna baadhi ya miji ina hzo barabara
Especially bolivia chini kule

Poa poa kwaio brother ile puno Peru aifany kaz kweny 1.34
 
Mbona ujafata maelekezo mkuu

Fata maelekezo na u delete ilo file LA stream lazima lifunguke 2 then utaend kuturn off stream cloud kweny profile apo mamb yatkua fresh
Mkuu ayo yote nimejaribu kufuta izo stream zote ila ndo ivo tena..

Kama autojali unielekeze kwa procedure moja moja labda kuna.maali nitakuwa bado nakosea bila kujua
 
Linagomaje? Ww utakua huku unchek ile option ya steam ndoamana...usipo fanya hivyo lita play mara ya kwanza tu basi
Hapa ndipo nilipokosea kiongozi na mm niliplay mara moja tu ndo ikawa basi....je baada ya kugoma inabidi nidowload tena au kuna namna naweza fanya ??
 
Fata maelezo haya
Ebu Go to Users/Public/Public Documents/Steam ---> Delete Steam

Kaplay game ---> Create profile ---> af kwenye option ya use steam wewe Uncheck "Use Steam Cloud"...usishau hapo ku unchek use steam ndio uchawi ulipo..kisha game itacheza fresh
 
Hapa ndipo nilipokosea kiongozi na mm niliplay mara moja tu ndo ikawa basi....je baada ya kugoma inabidi nidowload tena au kuna namna naweza fanya ??
Fata hyo reply ya sasa
 
Puno sjaichek siku nying..ngoja nikaichungulie tujue
Mkuu kcamp nakushukuru nimefanikiwa baada ya kugangamala siku 3 hatimaye limekubali game la version 1.34 ni zuri ajabu nipo stage 3.
je naweza paa nikawa stage za juu? maana nimedownload Mods za Hp na gear box na Document ya kupachika hizo MODS bado inanipotea
msaada p/se
 
Weka mod ya fast level hiyo

Back
Top Bottom