Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Mkuu nashukuru nashukuru nimeshadownload na zile za gearbox je navitupia katika My Document la ETS km zile Mods za Peru, maana nimeanza profile dereva mwingine leveliikagoma
 
Mods zote zinaka kweny folder la mods mkuu

Document > euro truck simukator 2> mod
 
Jamani Game halitaki kuonekana/ kuplay ina maana ni Unstall na kuanza upya ile download?
au nikaanze kwenye Torrent
sijajua ni nini na ile tick ya Steam niliiondoa (uncheck) sijajua kosa lipo wapi
 
kcamp latest ETS ni version ipi. nahitaji kurudi kwa ksi nipe na link yake ya mod kabisa
 
Ngoja saa mbili ifike nishushe hilo hilo 1.34.
Naona ni gb 2.7 tu
hapana hilo game la 1.34 lina 6.25gb km ni hizi bundle zetu tenga km 12.000/ likishajaa unapoweka profile p/se uncheck kibox cha steam
mm limeshanilia sana nikaanza mwanzo
na hasa nilipotaka kucheza Puno Peru sijajua kwanini halitaki kwa hii version ya 1.34
 
Repark gb 2.7 na si vinginevyo.

Mimi natumia ttcl 1000 kuanzia saa mbili napata gb 4 had asubuhi. 2500 gb 10

Speed ni 4g hizo gb 2.7 me nazishusha kwa dkk 25 hd 30 tu.

Gb file la gb 10 me huwa nalishusha kwa masaa 2 had 3 tu.
hapana hilo game la 1.34 lina 6.25gb km ni hizi bundle zetu tenga km 12.000/ likishajaa unapoweka profile p/se uncheck kibox cha steam
mm limeshanilia sana nikaanza mwanzo
na hasa nilipotaka kucheza Puno Peru sijajua kwanini halitaki kwa hii version ya 1.34
 
Ulidownloadia torrents?

Me ngoja nitumie oceanofgames naona wameliweka mwezi mmoja tu uliopita.
hapana hilo game la 1.34 lina 6.25gb km ni hizi bundle zetu tenga km 12.000/ likishajaa unapoweka profile p/se uncheck kibox cha steam
mm limeshanilia sana nikaanza mwanzo
na hasa nilipotaka kucheza Puno Peru sijajua kwanini halitaki kwa hii version ya 1.34
 
hapana hilo game la 1.34 lina 6.25gb km ni hizi bundle zetu tenga km 12.000/ likishajaa unapoweka profile p/se uncheck kibox cha steam
mm limeshanilia sana nikaanza mwanzo
na hasa nilipotaka kucheza Puno Peru sijajua kwanini halitaki kwa hii version ya 1.34
Kuna la gb 2 mkuu ndo nalitumia mim
 
Kuna la gb 2 mkuu ndo nalitumia mim
Ok mna bahati basi mm sikukutana nalo hilo, niliwahi kutana na la 5.8
na hili la sasa nilifanikiwa kuhama na Level zangu nilizotoka nazo 1.27 naendelea taratibu ila Puno Peru ndio haitaki, hebu jaribu kwako km itai-play Mkuu
 
Peru mkuu mim nilshamalzaga
 
Mkuu nilishalishusha. Liko fresh naoana wengine walikuwa wanakosea tu labda.

Sasa embu niambie mod zipi tamu unipe hapa nizishushe
Nilipo lipata mimi lishatolewa mkuu
 
Kuna mwenye link ya version 1.35?

Maana hizi updates sio za kitoto aisee
 
Back
Top Bottom