mabala family
JF-Expert Member
- Nov 10, 2017
- 228
- 258
Wee! Hizo kona wakat mwingine urud nyuma ufike mapema , bado kuanguka mtoniKuna baharia yoyote humu amewahi fanikiwa kudeliver mzigo within the time kwenye ile Map ya Puno??
Kwaupande wangu hata nikimbie vp ayse...sijawahi fanikiwa kuwahi