Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Kuna baharia yoyote humu amewahi fanikiwa kudeliver mzigo within the time kwenye ile Map ya Puno??
Kwaupande wangu hata nikimbie vp ayse...sijawahi fanikiwa kuwahi
Wee! Hizo kona wakat mwingine urud nyuma ufike mapema , bado kuanguka mtoni
 
Mkuu mm natumia version 1.32.3s nimeinstall peru mapa lakini kila nikijaribu kucheza game linafika seheme kwenye kuload lina stop na kuclose program
1573270989377.jpeg
 
Yani peru ya 1.35 umeweka kweny 1.32? Lazima ikugomee..nilisema mods version iendane na game version...

Sasa kwanza hamia 1.35
Mkuu mm natumia version 1.32.3s nimeinstall peru mapa lakini kila nikijaribu kucheza game linafika seheme kwenye kuload lina stop na kuclose programView attachment 1258222
 
Hamna aliecheza map ya pro mod? Map imetulia sana makin
 
Yani peru ya 1.35 umeweka kweny 1.32? Lazima ikugomee..nilisema mods version iendane na game version...

Sasa kwanza hamia 1.35
Naomba unisaidie kupata iyo version ya 1.35 mkuu
 
Lile alaf hata torrent wakalitoa..dah

Hili la gb 3 ndio namm nataka nipakue leo..mana nimemis brazil
Mkuu lile game la 1.35 la 2.8gb limeliwa kabisa na nilishafika 83% ya Map ya Puno Peru ingawa sijawahi wahisha mzigo popote, ni mieleka na ajali
sasa nadownload upya hili ulillotuwekea la 3.58gb
 
Back
Top Bottom