Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yan Jan nmecheza freshKama Title ya thread inavyosema,Hii ni simple tutorial ya kuonesha jinsi gani utaweza kutumia mods mbal mbal katika game yako ya ETS 2.
Sometimes inafika stage kweny hili game unakua kama umechoka zile barabara zake,magar yake,limitations pia katika kununua trucks had kufikia level flani ambazo ni kubwa,lakini pia kuna maeneo meng tu ambayo ungependa kudrive lakini kweny official maps hayo maeneo hakuna.
Wengi wangependa ku drive maeneo yanayofananan na huku kwetu,yani barabara za vumbi ,kona zakutosha na milima iliyo shindikana..
[HASHTAG]#Baadhi[/HASHTAG] mods utazo enjoy #
1.utaweza cheza game yako kweny region tofaut ambazo hazipo kweny official maps.
2.pia utaweza ku pimp truck yako vile unavyopenda wewe...mfano kuongeza Horse power ya gar lako kuanzia 1000HP nakuendelea,Rims,tyre
3.Fast level and money
Hapa unaweza fika level za juu jus kwa haraka sana ndani ya trip kama tatu unaweza fika level kuanzia 16 na pia utakua na starting money kubwa sana na kila kitu kitakua unlocked
4.Trucks and Busses
Hapa utaweza weka mabus ndan ya euro truck traffics tena mabus ya kisasa kama marcopolo G7 na pia unaweza endesha.
Kwa upande wa trucks unaweza weka trucks za makampuni tofaut na yaliyo ndan ya euro truck..hapa unaweza kutana na Trucks kama KENWORTH,MAZ,KAMAZ na hata magar madogo haya.
Mods ni nyingi na hizi faida zinatoka ndan ya kila mods utayotaka wewe.
[HASHTAG]#Hasara[/HASHTAG] za mods#
Game ku crush...baadhi ya mods znakua zina matatizo na kufanya game kucrash,lakin pia kama game version na mods zikiwa tofaut basi game pia lita crush.
*JINSI YA KU INSTALL MODS*
hapa ndipo kweny kusudio la thread hii,na zifuatazo ni hatua za kuweka mods kweny hili game.
1. Download mod unayotaka hapa ETS 2 mods ukishamaliza basi extract mod yako Kweny folder la Documents/Euro Truck Simulator 2/mod folder.Kama utakua hauna folder la mod kama hapo juu basi sio kesi,wewe create new folder ndan ya folder la euro truck simulator 2 na rename ilo new folder kua "mod" kisha paste mod zako humo.
2.Run game ~> create new profile kisha kweny sehem ya mod manager fungua hapo na utakuta mods zako kisha Enable mod(s) and save changes.Done
NB.baadh ya mods za map utatakiwa kuchagua ile map yako kweny playing module..kisha ndio uendelee.hizi huitwa standalone map.
*hakikisha mod yako iko compatible na game version uliyonayo,ni vizur kua na latest version ya game ambayo ni 1.27 hii itakufanya kua na mods nyingi mana developer wanakimbizana na version ya game.
*pia ni vizur kusoma comments za wadau kuhusu mods unayotaka kudownload,kuna mods huwa fake na hazifany kazi..pia baadhi ya mods huwa zina maelezo special ya kuistall,vitu kama ku disable Dlc labda.
Hayo ni machache ya kuzingatia.
Links
Kuapata latest version ya euro truck
Euro Truck Simulator 2 v1.27.2.4s Incl 53 DLC torrent - Windows torrents - Games torrents - ExtraTorrent.ag The World's Largest BitTorrent System
Link za mods
ETS 2 mods
Euro Truck Simulator 2 mods, ETS 2 mods
Euro Truck Simulator 2 Mods | ETS 2 Mods - Modhub.us
ETS 2 mods - Euro truck simulator 2 mods - ETS2MODS.LT
*Map ambazo ni nzur kuzijaribu*
Map Puno Peru v 1.5 « ETS 2 mods
Sio mbya ukianza na hii ina rough road za kama kwetu...map zingine nzuri ni
Southern region
Trucksim
Rusmap
Russian baikal
Mario map .
Tapatalk Cloud - Downlaoad File road-3_ModLandNet.jpg
Tapatalk Cloud - Downlaoad File 1492115157_eut2_hq_58ef37cf.png
Tapatalk Cloud - Downlaoad File ai-traffic-mod-for-ets-2-ver-1-21-2-1s_1.jpg
Tapatalk Cloud - Downlaoad File s-korea.jpg
Mkuu kuna kamdudu kamoja kanaitwa shortcut kalinitesa sanaYan Jan nmecheza fresh
Leo zinatokea shortcut mbili moja ya 64 nyingine 32 mwisho in stop workingView attachment 1283908
Yap mzee nmefuta steam now freshMkuu kuna kamdudu kamoja kanaitwa shortcut kalinitesa sana
halafu katika picha ya Truck ya Euro hapo mbele ukiona ngao imejitokeza wanataka uende Admini napo hatari hicho kingao kuna mdudu alinisumbua mpaka nikaInstall upya
mwisho ulinielekeza kuua STEAM ndio dawa, nenda kule Computer User .....Steam
aya ndo mambo,, 1.35 tunaweka pembeni nowETS2 (v 1.36.1.41s + 68 DLC)
MediaFire is a simple to use free service that lets you put all your photos, documents, music, and video in a single place so you can access them anywhere and share them everywhere.www.mediafire.com
Haya MediaFire link hyo mzigo una gb 3 tu
V1.36
Duh mm inakwamia kwenye 76Mb badala ya kumalizia 3.3Gb nitajaribu baada ya wengineKwel mkuu..saiz mods zote zimehamia 1.36...nasubr saa sita nianze kupakua
Chuma kali sana! Renault.. siku ukija England ukaona chuma imeandikwa machibya ujue ni mimi [emoji38][emoji38][emoji38] ilitelekezwa baada ya pc kuibiwa [emoji26][emoji26][emoji47]Jamaa wameongeza hii chuma mpyaView attachment 1285049
Hahah Renault T range..imekaa kishua sanaChuma kali sana! Renault.. siku ukija England ukaona chuma imeandikwa machibya ujue ni mimi [emoji38][emoji38][emoji38] ilitelekezwa baada ya pc kuibiwa [emoji26][emoji26][emoji47]
Machibya kumbe na wewe Developer wa ETS-2 ukiwa huko Shinyanga na PC wakakuchapa mm nilijua upo London GBChuma kali sana! Renault.. siku ukija England ukaona chuma imeandikwa machibya ujue ni mimi [emoji38][emoji38][emoji38] ilitelekezwa baada ya pc kuibiwa [emoji26][emoji26][emoji47]
@kcamp unatumia hii kitu au keyboard tu?Ukwaju link ipo updated...jaribu tena
Hahah Renault T range..imekaa kishua sana
Asee kumbe walikupiga pc?[emoji16][emoji16]
Mi sio developer mkuu [emoji38][emoji38] machibya niliandika pale kwenye driver name kwahiyo ukiiona kwa mbele utaona machibya! Nilitaka kuwa tofauti na akina sijui Darlington haulage, nikatupia kitanzania zaidiMachibya kumbe na wewe Developer wa ETS-2 ukiwa huko Shinyanga na PC wakakuchapa mm nilijua upo London GB
Maana kuna Mod nzuri siioni ile post yake ilituelekeza maTruck ya Coca cola, Azam nk ya Tanzania tukitaka kuyapaka rangi gereji tunabuni wenyewe na neno Machibya au MO linabakia kwenye PC yako
kumbe mpaka ETS-2 😀😀😀😀😀 jokes
@kcamp unatumia hii kitu au keyboard tu?View attachment 1285343