Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Attachments

  • Capture.PNG
    Capture.PNG
    183.4 KB · Views: 2
mkuu product key sasa imekua ni changamoto kwang yaani hapo kwenye library hapafunguki bila key. nimejalibu kuona gmal wamenitumia product key hii
yaani ni moja t huku zinahitajika zaidi ya 3 yaani cijui hata nifanyaje
 
Kwanza tengeneza profile mpya kisha activate peru kweny mod manager kisha playing module ni hii hapa kweny picha ww chagua puno mbd kama unavyoona hapo kisha endelea.
View attachment 553791
Mkuu kumbe unachagulia hapa!?
Kwahyo unaweza kua na profile hata 3 ukaactivate mods tofaut
Yaan profile yakwanza unaendeshea dar
Nyingine iringa
Nyingine tandahimba uko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]

kelphin kepph
 
Hebu tuone hiyo email ya product key na huko inakodai key pia tuone

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu hii hapa kwenye steam nimetumia jina la fbl8888 pin ni ahz65i98 yeyote yule achukue hii account kisha aniangalizie key zake
 

Attachments

  • Shot 013.png
    Shot 013.png
    925.7 KB · Views: 2
  • Shot 014.png
    Shot 014.png
    925.7 KB · Views: 2
  • Shot 015.png
    Shot 015.png
    925.5 KB · Views: 2
  • Shot 016.png
    Shot 016.png
    844.4 KB · Views: 2
  • Shot 017.png
    Shot 017.png
    1,004.5 KB · Views: 2
  • Shot 018.png
    Shot 018.png
    1,009.9 KB · Views: 2
  • Shot 019.png
    Shot 019.png
    1.1 MB · Views: 2
Unajua ilibid tuwe na group whatsapp

kelphin kepph
mkuu huu uzi kamwe hautakiwi kuamishwa kwa sababu. 1] unawasaidia watu wengi namna ya kuinstall hili game 2]kuinstall mod 3] kutugei kila update juu ya hili game letu hususa ni pale ETS2 wakitoa version mpya na pia inawasaidia watu weng sana japokua hawa changii hoja yoyote ile hapa [wazee wa [kimyakimya]
 
Back
Top Bottom