Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

sawa
Mkuu kwanza hiyo hahiitaji ku install, una download tu then extract ndani kuna ki file chake cha kufungua kimeandikwa ts se tool.. Labda kama itakwambia uwe na net framework 4.7.2 kama ulikuwa hujainstall hii ndo inabidi udownload maana bila hii hutaweza kuifungua hiyo app (ukisearch to Google net framework offline installer unaipata kwa uzuri chagua version 4.8 ambayo ndo latest )

Ukimaliza hapo unaifungua tu direct. Uzuri app yenyewe inajieleza vizuri kabisa, ukiifungua tu itakuonyesha sehem unachagua profile yako then una load.. Itafungua profile yako unayotumia kwenye ets then unai change unavyotaka.. Levels, garages, money na vitu kibao..
View attachment 1414812

Sent using Jamii Forums mobile app
sawa mkuu nimekuelewa.
 
Hapo sasa muongezee na weather mod na traffic mod ndo utaona utamu wa game.

Weather mod inakupa challenging weathers mfano unakuta mvua na bonge la fog, au usiku unakuwa ni giza haswa, au mida ya asubuhi na jioni ni full fog nk

Traffic mod inakuongezea challenge barabarani maana inakuwa ni full foleni na vurugu hasa kwenye hizi single lane roads

Weather mod: Realistic Brutal Weather v4.1.1 1.36 mod for ETS 2

Traffic mod :
Download Real Traffic Density and Ratio scs

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja nipakue hyo weather

Pia kuna zile graphics mod..nazo tamu
Hapo sasa muongezee na weather mod na traffic mod ndo utaona utamu wa game.

Weather mod inakupa challenging weathers mfano unakuta mvua na bonge la fog, au usiku unakuwa ni giza haswa, au mida ya asubuhi na jioni ni full fog nk

Traffic mod inakuongezea challenge barabarani maana inakuwa ni full foleni na vurugu hasa kwenye hizi single lane roads

Weather mod: Realistic Brutal Weather v4.1.1 1.36 mod for ETS 2

Traffic mod :
Download Real Traffic Density and Ratio scs

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo vipi...??
IMG_20200410_204149.jpg
IMG_20200410_204000.jpg
IMG_20200410_204102.jpg
IMG_20200410_204034.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom