Wakujilipua
JF-Expert Member
- May 5, 2018
- 1,584
- 1,393
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye 1.36 zinafanyaView attachment 1423758
View attachment 1423766
Kwa wale wanaohitaji zile mod za kampuni za kibongo. Original owner wa hizi mod ni huyu : Makampuni ya Tanzania katika game la Euro Truck Similator 2 - JamiiForums
mimi sanasana nimezifanya ziwe compatible na version mpya za ets tu kadri zinavyotoka, hizi mod ni za tangu 2011 ila nimejaribu kuzifanya ziwe compatible na ets version mpya inavyotoka na kila ets nimekuwa nazitumia bila shida
Download link ya mods: 0 byte file on MEGA
ukishadownload extract hizo file zote kwenye moda folder na zote ziweke ziwe active.
Sio kweli jamaa kakutisha tu MM hii game versin 1.36 nacheza na Window 7 fresh na setup hiyo hiyo kama kawaidamm yamenikuta km yako PC haikubali kuinstal hilo Game kwa version ya 1.36
UKIFANIKIWA NI-TAG
kuna jamaa kanitisha eti Window 8 yangu imefika mwisho Microsoft walisasema Window 7 & 8 hazitakiwi nipande Window 10 haraka
pambana tuhabarishane, sina Game kabisa baada ya ku delete 1.35
View attachment 1423758
View attachment 1423766
Kwa wale wanaohitaji zile mod za kampuni za kibongo. Original owner wa hizi mod ni huyu : Makampuni ya Tanzania katika game la Euro Truck Similator 2 - JamiiForums
mimi sanasana nimezifanya ziwe compatible na version mpya za ets tu kadri zinavyotoka, hizi mod ni za tangu 2011 ila nimejaribu kuzifanya ziwe compatible na ets version mpya inavyotoka na kila ets nimekuwa nazitumia bila shida
Download link ya mods: 0 byte file on MEGA
ukishadownload extract hizo file zote kwenye moda folder na zote ziweke ziwe active.
Hicho kimod noma hakikatai version mm tangu 1.28 napanda nacho mpk 1.36 na fresh we katupie tu
leta mkuuu hata saa hii
7 hata mi ndo natumiaSio kweli jamaa kakutisha tu MM hii game versin 1.36 nacheza na Window 7 fresh na setup hiyo hiyo kama kawaida
Window nzuri ni 7 na 10
window 8 ni pasua kichwa achana nayo
tumia 10 au 7
Sent using Jamii Forums mobile app
Download LIMITE VERS BETA TESTE rarleta mkuuu hata saa hii
Niko naimalizia Indonesia, nikitoka huko nitatest hiiDownload LIMITE VERS BETA TESTE rar
NO LIMITE VERSÃO BETA EM TESTE mr rick
Pakua zote hizo...mana zunakua activated kwa pamoja
Sijatest mzgo coz muda wa Halotel haujafika..ila ikikubal basi huu mzgo utakua gumzo
Sent using Jamii Forums mobile app
hiyo ya kwanza naona iko tayali but hii ya pili 3.83 gb nimeupiga pause kwanzaDownload LIMITE VERS BETA TESTE rar
NO LIMITE VERSÃO BETA EM TESTE mr rick
Pakua zote hizo...mana zunakua activated kwa pamoja
Sijatest mzgo coz muda wa Halotel haujafika..ila ikikubal basi huu mzgo utakua gumzo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nime install tena now fresh Tena profile zangu zote zipomm yamenikuta km yako PC haikubali kuinstal hilo Game kwa version ya 1.36
UKIFANIKIWA NI-TAG
kuna jamaa kanitisha eti Window 8 yangu imefika mwisho Microsoft walisasema Window 7 & 8 hazitakiwi nipande Window 10 haraka
pambana tuhabarishane, sina Game kabisa baada ya ku delete 1.35
Nlikuaga natumia 8.1proSio kweli jamaa kakutisha tu MM hii game versin 1.36 nacheza na Window 7 fresh na setup hiyo hiyo kama kawaida
Window nzuri ni 7 na 10
window 8 ni pasua kichwa achana nayo
tumia 10 au 7
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijapata msaada wa hili swali langu wajuvi mje mnipe ushauriMm natumia 1.36.x iyo 1.34.x haiwezi kuzingua ? Alaf ninayo mod moja kama iyo ila Tatizo ina hitaji password ninapo extract
Sent using Jamii Forums mobile app
mod ipi?
window 7 professional, copyright 2009 manufacture DELL RATING 1.0 window experience index inter core i5 2520M cpu 2.50ghz ram 6gb
MKUU AU huyu huyu jamaa ndo alikuwekea na wewe window maana zinafanana kwa kila kitu kasolo hapo kwenye rating tu wewe ni 3.5 na mimi ni 1.0 yaani kama ni gemu basi labda nicheze v 1.1.1.View attachment 1429200
Mkuu na Kata Shime na mm specification zako ni sawa na zangu lkn napofungua Game linagoma
sijajua hawa Microsoft niwaudhi nini
na mm nawasubiri wataalam
mimi i,enishinda ku downloadMario Map hatari sana aisee, wala sichoki kuitumia, volvo fh12 22D, 3900HP