Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

kilimanjaro in icrf
 
Attachments

  • ets2_20200421_215908_00.png
    ets2_20200421_215908_00.png
    1.1 MB · Views: 4
  • ets2_20200421_220033_00.png
    ets2_20200421_220033_00.png
    1,023.3 KB · Views: 4
View attachment 1423758

View attachment 1423766
Kwa wale wanaohitaji zile mod za kampuni za kibongo. Original owner wa hizi mod ni huyu : Makampuni ya Tanzania katika game la Euro Truck Similator 2 - JamiiForums

mimi sanasana nimezifanya ziwe compatible na version mpya za ets tu kadri zinavyotoka, hizi mod ni za tangu 2011 ila nimejaribu kuzifanya ziwe compatible na ets version mpya inavyotoka na kila ets nimekuwa nazitumia bila shida

Download link ya mods: 0 byte file on MEGA

ukishadownload extract hizo file zote kwenye moda folder na zote ziweke ziwe active.
Kwenye 1.36 zinafanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mm yamenikuta km yako PC haikubali kuinstal hilo Game kwa version ya 1.36
UKIFANIKIWA NI-TAG
kuna jamaa kanitisha eti Window 8 yangu imefika mwisho Microsoft walisasema Window 7 & 8 hazitakiwi nipande Window 10 haraka
pambana tuhabarishane, sina Game kabisa baada ya ku delete 1.35
Sio kweli jamaa kakutisha tu MM hii game versin 1.36 nacheza na Window 7 fresh na setup hiyo hiyo kama kawaida

Window nzuri ni 7 na 10
window 8 ni pasua kichwa achana nayo
tumia 10 au 7

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1423758

View attachment 1423766
Kwa wale wanaohitaji zile mod za kampuni za kibongo. Original owner wa hizi mod ni huyu : Makampuni ya Tanzania katika game la Euro Truck Similator 2 - JamiiForums

mimi sanasana nimezifanya ziwe compatible na version mpya za ets tu kadri zinavyotoka, hizi mod ni za tangu 2011 ila nimejaribu kuzifanya ziwe compatible na ets version mpya inavyotoka na kila ets nimekuwa nazitumia bila shida

Download link ya mods: 0 byte file on MEGA

ukishadownload extract hizo file zote kwenye moda folder na zote ziweke ziwe active.
Kwenye 1.36 zinafanya

Sent using Jamii Forums mobile app
Hicho kimod noma hakikatai version mm tangu 1.28 napanda nacho mpk 1.36 na fresh we katupie tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mm yamenikuta km yako PC haikubali kuinstal hilo Game kwa version ya 1.36
UKIFANIKIWA NI-TAG
kuna jamaa kanitisha eti Window 8 yangu imefika mwisho Microsoft walisasema Window 7 & 8 hazitakiwi nipande Window 10 haraka
pambana tuhabarishane, sina Game kabisa baada ya ku delete 1.35
Nime install tena now fresh Tena profile zangu zote zipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wakuu yaani kati ya siku yenye laana kwangu ni ck ya leo. bas leo nimepata kakiherehele ka kwenda kuweka window7 bas jamaa kaweka vizuri 2 then kaniambia machine iko fresh ninaweza kwenda sasa nikaondoka. kufika home nikaifungua ili nianze kuinstall vitu kama hili gem letu pendwa na n.k. baada ya kumaliza kuinstall sasa ikawa ni zam ya kucheza ets2 mara ikaleta steam has stoped working. nikajua ni kalekale ka mchezo kake, na kama kawa nikaderete steam. sasa ni hivi mpaka sasa gem halichezi na kila nuikifungua ni steam has stoped working wakuu had kichwa kinauma sasa nifanyeje? msaada sifa za compyter kwa sasa ni window 7 professional, copyright 2009 manufacture DELL RATING 1.0 window experience index inter core i5 2520M cpu 2.50ghz ram 6gb
 
window 7 professional, copyright 2009 manufacture DELL RATING 1.0 window experience index inter core i5 2520M cpu 2.50ghz ram 6gb
1587751929373.png

Mkuu na Kata Shime na mm specification zako ni sawa na zangu lkn napofungua Game linagoma
sijajua hawa Microsoft niwaudhi nini
na mm nawasubiri wataalam
 
View attachment 1429200
Mkuu na Kata Shime na mm specification zako ni sawa na zangu lkn napofungua Game linagoma
sijajua hawa Microsoft niwaudhi nini
na mm nawasubiri wataalam
MKUU AU huyu huyu jamaa ndo alikuwekea na wewe window maana zinafanana kwa kila kitu kasolo hapo kwenye rating tu wewe ni 3.5 na mimi ni 1.0 yaani kama ni gemu basi labda nicheze v 1.1.1.
 
Back
Top Bottom