Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Pc yangu ni desktop ina RAm 4GB HDD ni 500 GB Vipi naweza kucheza hili game is my device compatible?
unacheza kwa 4GB hasa 1.35 lkn itakusumbua kidogo kwenye kukatakata na resolution ongeza hata 2gb huko mbele hata kuinstall set-up wanashauri 8GB na kweli ni more advanced hata muonekano wa picha zenyewe magari nk zipo clear
 
Sawa mkuu ngoja niongeze 4Gb tu
 
Back
Top Bottom