Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Wakuu Member tulioko version 1.37 msitie hofu kuna Member katiwekea map nzuri sana inayoendana na version yetu wakati tukiwasubiri wengine waje washushe vioo na kusikia sound za nje ya gari
chukueni hiyo ina 500 MB map mpya rota fg v 1.37 CLICK HAPO MediaFire
1590936660872.png
 
View attachment 1464782
kweli hapa sihami ng'o yaani bandika bandua huku na kule sijui hata niende wapi sasa , hii ROTA FG aka hondula ni kiboko lazima niichukue
 
💪 💪 💪 na nikimaliza hii ROTA FG NAENDA kujivinjali ktk visiwa vyenye barafu.
 
Attachments

  • ProMods - Download - Mozilla Firefox 5_31_2020 11_44_59 AM.png
    ProMods - Download - Mozilla Firefox 5_31_2020 11_44_59 AM.png
    171.9 KB · Views: 1
bas huna tena pingamizi la kukaa huko 1.36 kuja huku 1.37 kisha twenzetu visiwa vya iceland fasta tukacheze na barafu.
 
Back
Top Bottom