The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Hii unaeza chezea ets2?Hizi bei ni reasonable?
View attachment 1522657
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii unaeza chezea ets2?Hizi bei ni reasonable?
View attachment 1522657
Ni compartible na PS2, PS3 na PC.Hii unaeza chezea ets2?
Bei hiyo siyo Reasonable, angalia hapo unapata usukani tu na hizo buttons. Ukitaka uinjoy ets2 unatakiwa uwe a usukani, pedals na shifter ndiyo maana mimi nilimua kutengeneza mwenyewe.Hizi bei ni reasonable?
View attachment 1522657
Hehehehehe we jamaa ni kiboko, aisee utapiga hela sn but plz bei elekezi iwe affordable ili soko liwe kubwa mzee.Bei hiyo siyo Reasonable, angalia hapo unapata usukani tu na hizo buttons. Ukitaka uinjoy ets2 unatakiwa uwe a usukani, pedals na shifter ndiyo maana mimi nilimua kutengeneza mwenyewe.
Jana nilishinda natengeneza Pedal, hshifter na Usukani. Nashukuru Mungu nimemaliza na Vinafanya Kazi vizuri. Nataka Nipige Rangi then nitapublish hapa ili muone.
Ndio maana niliuliza, basi hapo hakuna kuaenjoy bila hizo shifter na pedal huwezi pata ule utamu wa manualBei hiyo siyo Reasonable, angalia hapo unapata usukani tu na hizo buttons. Ukitaka uinjoy ets2 unatakiwa uwe a usukani, pedals na shifter ndiyo maana mimi nilimua kutengeneza mwenyewe.
Jana nilishinda natengeneza Pedal, hshifter na Usukani. Nashukuru Mungu nimemaliza na Vinafanya Kazi vizuri. Nataka Nipige Rangi then nitapublish hapa ili muone.
Nashauri Rusha Picha Tuone unapokwama.Nikiload game,,kua baadhi ya maandishi hayaonekani..Mimi naona kwenye profile..Maandishi ya chini zaidi hayaonekani
Yeah, yani bei itakuwa nafuu sana ili wadau mfaidi ets2Hehehehehe we jamaa ni kiboko, aisee utapiga hela sn but plz bei elekezi iwe affordable ili soko liwe kubwa mzee.
Nikiangalia hayo maelezo naona kama unatakiwa u-update hiyo version ya game uliyonayo. Jaribu ku-update halafu tuone.Inaonesha hivi..So hizo option nyingine sioni..Tatizo litakua nn?View attachment 1523552
Bei hiyo siyo Reasonable, angalia hapo unapata usukani tu na hizo buttons. Ukitaka uinjoy ets2 unatakiwa uwe a usukani, pedals na shifter ndiyo maana mimi nilimua kutengeneza mwenyewe.
Jana nilishinda natengeneza Pedal, hshifter na Usukani. Nashukuru Mungu nimemaliza na Vinafanya Kazi vizuri. Nataka Nipige Rangi then nitapublish hapa ili muone.
Safi sana. Vipi inafanya kazi vizuri?Saf sana mkuu 2po pamoja me shamalza h-shifta
alaf naon molari huku tz hakuna kbsaJAMANI KAMA KUNA WADAU WA ETS2 WAAMBIENI WAJIUNGE KWENYE HUU UZI ILI TUWE WENGI.
😀 😀 kwa halaka tu hiyo ni v 1.1.1 [2012] broo hiyo hai sapport mod yoyote ile panda juu hapo mwanzoni mwa thread kuna link ya game k camp kaweka download kisha weka mod yako lazima itakubali au kama unaweza nunua game geniun kupitia steam ni dola kadhaa tuInaonesha hivi..So hizo option nyingine sioni..Tatizo litakua nn?View attachment 1523552
lazima litamuitisha key na key nazo kupata ni msalaNikiangalia hayo maelezo naona kama unatakiwa u-update hiyo version ya game uliyonayo. Jaribu ku-update halafu tuone.
Nahisi Wadau wapo wengi sana, sema hawajafahamu forum ya ets2 iko wapi.alaf naon molari huku tz hakuna kbsa