JOAQUEM
JF-Expert Member
- Jul 28, 2012
- 2,020
- 1,671
Hizo, anazoweka kwenye status zinaeleweka lakini.?Dah nimekua busy sana sema jamaa huwa anapost sana status..naishia kuview tu
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo, anazoweka kwenye status zinaeleweka lakini.?Dah nimekua busy sana sema jamaa huwa anapost sana status..naishia kuview tu
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
NIMESHAIONA MKUU SIKU NIKIPANDA 1.38 NAANZA NAYO
NA J PILI YA LEO MAMBO YALIKUWA NI KAMA HIVINAPENDA KUWAKUMBUSHA COMPANY YA DRIVER TOKA BONGO IPO TENA WAZI KABISA KAZI NI KWENU, KESHO [J PILI] NITAKUWA NA CONVOY ITAKAYO ANZIA ABERDEN ENGLAND MPAKA ISTANBUL UTULUKI . KARIBUNI SANA TU DRIVE PAMOJA . Company Profile - TrucksBook
hatari
Kuna brand moja inatengeneza mod za kuongeza map kwenye ili game inaitwa wombat trucker na zinaonyesha adition road kwenye ets2 ila sasa nikijaribu kuad izo mod kwenye game langu lina corrupt ali play unaweza nisaidia kwannKama Title ya thread inavyosema,Hii ni simple tutorial ya kuonesha jinsi gani utaweza kutumia mods mbal mbal katika game yako ya ETS 2.
Sometimes inafika stage kweny hili game unakua kama umechoka zile barabara zake,magar yake,limitations pia katika kununua trucks had kufikia level flani ambazo ni kubwa,lakini pia kuna maeneo meng tu ambayo ungependa kudrive lakini kweny official maps hayo maeneo hakuna. Wengi wangependa ku drive maeneo yanayofananan na huku kwetu,yani barabara za vumbi ,kona zakutosha na milima iliyo shindikana.
[HASHTAG]#Baadhi[/HASHTAG] mods utazo enjoy #
1.utaweza cheza game yako kweny region tofaut ambazo hazipo kweny official maps.
2.pia utaweza ku pimp truck yako vile unavyopenda wewe...mfano kuongeza Horse power ya gar lako kuanzia 1000HP nakuendelea,Rims,tyre
3.Fast level and money
Hapa unaweza fika level za juu jus kwa haraka sana ndani ya trip kama tatu unaweza fika level kuanzia 16 na pia utakua na starting money kubwa sana na kila kitu kitakua unlocked
4.Trucks and Busses
Hapa utaweza weka mabus ndan ya euro truck traffics tena mabus ya kisasa kama marcopolo G7 na pia unaweza endesha.
Kwa upande wa trucks unaweza weka trucks za makampuni tofaut na yaliyo ndan ya euro truck..hapa unaweza kutana na Trucks kama KENWORTH,MAZ,KAMAZ na hata magar madogo haya.
Mods ni nyingi na hizi faida zinatoka ndan ya kila mods utayotaka wewe.
[HASHTAG]#Hasara[/HASHTAG] za mods#
Game ku crush...baadhi ya mods znakua zina matatizo na kufanya game kucrash,lakin pia kama game version na mods zikiwa tofaut basi game pia lita crush.
*JINSI YA KU INSTALL MODS*
hapa ndipo kweny kusudio la thread hii,na zifuatazo ni hatua za kuweka mods kweny hili game.
1. Download mod unayotaka hapa ETS 2 mods ukishamaliza basi extract mod yako Kweny folder la Documents/Euro Truck Simulator 2/mod folder.Kama utakua hauna folder la mod kama hapo juu basi sio kesi,wewe create new folder ndan ya folder la euro truck simulator 2 na rename ilo new folder kua "mod" kisha paste mod zako humo.
2.Run game ~> create new profile kisha kweny sehem ya mod manager fungua hapo na utakuta mods zako kisha Enable mod(s) and save changes.Done
NB.baadh ya mods za map utatakiwa kuchagua ile map yako kweny playing module..kisha ndio uendelee.hizi huitwa standalone map.
*hakikisha mod yako iko compatible na game version uliyonayo,ni vizur kua na latest version ya game ambayo ni 1.27 hii itakufanya kua na mods nyingi mana developer wanakimbizana na version ya game.
*pia ni vizur kusoma comments za wadau kuhusu mods unayotaka kudownload,kuna mods huwa fake na hazifany kazi..pia baadhi ya mods huwa zina maelezo special ya kuistall,vitu kama ku disable Dlc labda.
Hayo ni machache ya kuzingatia.
Links
Kuapata latest version ya euro truck V.36
[ETS2 1.36.2.2s(Road To Black Sea)]
Latest version 1.37. Download Euro Truck Simulator 2 (v1.37.1.0s + 71 DLCs, MULTi41) [FitGirl Repack] Torrent | 1337x
Latest 1.38 ETS2 1.38 + All Dlcs
Link za mods
ETS 2 mods
Euro Truck Simulator 2 mods, ETS 2 mods
Euro Truck Simulator 2 Mods | ETS 2 Mods - Modhub.us
ETS 2 mods - Euro truck simulator 2 mods - ETS2MODS.LT
*Map ambazo ni nzur kuzijaribu*
Map Puno Peru v 1.5 « ETS 2 mods
Sio mbya ukianza na hii ina rough road za kama kwetu...map zingine nzuri ni
Southern region
Trucksim
Rusmap
Russian baikal
Mario map .
Tapatalk Cloud - Downlaoad File road-3_ModLandNet.jpg
Tapatalk Cloud - Downlaoad File 1492115157_eut2_hq_58ef37cf.png
Tapatalk Cloud - Downlaoad File ai-traffic-mod-for-ets-2-ver-1-21-2-1s_1.jpg
Tapatalk Cloud - Downlaoad File s-korea.jpg
Umechek compatibility ya mods na version yako ya ets2?Kuna brand moja inatengeneza mod za kuongeza map kwenye ili game inaitwa wombat trucker na zinaonyesha adition road kwenye ets2 ila sasa nikijaribu kuad izo mod kwenye game langu lina corrupt ali play unaweza nisaidia kwann
Game version inaendana na mood versionKuna brand moja inatengeneza mod za kuongeza map kwenye ili game inaitwa wombat trucker na zinaonyesha adition road kwenye ets2 ila sasa nikijaribu kuad izo mod kwenye game langu lina corrupt ali play unaweza nisaidia kwann
Mobile au Pc mkuu..
Creat cheza kabisaWataalamu mimi shida yangu kila nikisave profile then nikaizima pc
Nikiwasha pc nikaplay ETS 2
inataka ni create new profile wakati Nisha create zamani
Nakwama wapi wadau??