Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Wakuu mimi ETS yangu nikitaka ku run game mpaka nifute steam folder kwenye user\public document\steam
Bila hivyo halikubali ku start shida itakua wapi
Maana nikifuta steam folder basi profile yangu inafutika inabidi ni create ne profile tena
 
Wakuu nimedownload hilo ulonipa hapo juu ila sasa nikiweka mods linajistop linyew nikitoa linapga mzgo sasa cjui shida nn
Ume download version ip ya game?
Na unaweka mods za version ipi
Kama game ni 1.38 hakikisha mods Ni za 1.38
 
Wakuu mimi ETS yangu nikitaka ku run game mpaka nifute steam folder kwenye user\public document\steam
Bila hivyo halikubali ku start shida itakua wapi
Maana nikifuta steam folder basi profile yangu inafutika inabidi ni create ne profile tena
iko hivi pale unapo derete hiyo steam mara ya kwanza itakubali lakini uki quit game lazima itakuomba tena u derete hiyo steam ..........................................sasa bas fanya hiv unapo futa hiyo steam hakikisha una fungua game kisha una cheza kidogo alafu quit game nenda tena ka derete steam kisha fungua tena game cheza kidogo kisha funga game derete tena steam kisha cheza tena .......................... yaani una takiwa kufanya hivyo mara 3 au 4 kwa wakati mmja issue itakuwa imekamilika
 
T 270 DBZ

Attachments

  • ets2_20201009_110710_00.png
    ets2_20201009_110710_00.png
    936.5 KB · Views: 3
mzee baba na mimi ndo nilikuwa naiangalia saa hii umeniwaije😬😬😬😬
 
NAONA HAPO AWALI KULIKUWA NA UGUMU WA KUPAKUA HII MAP ........................ [HARSH RUSSIA SIBERIA BY GOBA]................... ILA KWA SASA NAONA JAMAA WAMEAMUA KULAHISISHA KBSA YAAN USHINDWE MWENYEWE TU. HAPA KWA CHINI KUNA LINK MBILI SO LAZIMA UDOWNLOAD ZOTE ......................................................................................................................[1] Harsh Russia Siberia Map R5 1.36.x - Modhub.us .......[2] Harsh Russia Siberia Map R5 1.36.x - Modhub.us
 
Kwa sisi ambao 1.36 hatukuifuta basi tunapakua mb 60 tu hzo biashara kwisha [emoji3]

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom