Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Attachments

  • 500 Russian Ruble to Tanzanian Shilling Exchange Rate. Convert RUB_TZS - TransferWise — Mozill...png
    500 Russian Ruble to Tanzanian Shilling Exchange Rate. Convert RUB_TZS - TransferWise — Mozill...png
    62 KB · Views: 3
Nipo Mkuu mminiacha mbali sana mm bado nilikuwa 1.37 baada ya kwenda 1.39 sikuona Mods zangu za power engine hazipo
Vipi huko 1.39 mnaenda vizuri niliache game la Mod ya Hondulandia?
Umepotea mzee

Mim nipo 1.36 kwaajil ya harsh russian..mana kweny 1.38 likawa lina crash kwenye baadh ya barabara..

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
Umepotea mzee
Mim nipo 1.36 kwaajil ya harsh russian..mana kweny 1.38 likawa lina crash kwenye baadh ya barabara..
safi sana hata mm napendelea kuchelewa chelewa maana huko mbele nakuogopa baada ya kupoteza / kuibiwa na vibaka Computer na vitu vingine.
Nimeona nianze nyuma kumbe zile Mods zitakubali sasa
usisahau post yako #1 kuweka link hiyo ya 1.39 (updated) na vinginevyo km Torrent
 
safi sana hata mm napendelea kuchelewa chelewa maana huko mbele nakuogopa baada ya kupoteza / kuibiwa na vibaka Computer na vitu vingine.
Nimeona nianze nyuma kumbe zile Mods zitakubali sasa
usisahau post yako #1 kuweka link hiyo ya 1.39 (updated) na vinginevyo km UTorrent BitComet - Downloads hii itasaidia sana wageni, nataka nizitafute na zile Mods huenda zikasaidia zikikaa karibu
 
haya sasa wazee wa mod 1.39 tumeludi kivingine kabisa ,
Tz traffic trailer ikiwa ktk muonekano mpya kbsa ikiwa na jumla ya skin 70 kwa muonekano tofauti tofauti na pia hii mod haiuzwi bali ni buleeee unaweza kuidownload kupitia link hii👇👇
 
Attachments

  • ets2_20210104_072852_00.png
    ets2_20210104_072852_00.png
    1.5 MB · Views: 3
  • ets2_20210104_073456_00.png
    ets2_20210104_073456_00.png
    1.4 MB · Views: 3
  • ets2_20210104_072710_00.png
    ets2_20210104_072710_00.png
    1.4 MB · Views: 3
Pia wazee wa mabus hatuko nao mbali Tz bus traffic [open beta] soon naichilia link hapa
 
Attachments

  • ets2_20210109_042445_00.png
    ets2_20210109_042445_00.png
    1.3 MB · Views: 3
Back
Top Bottom