Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Haya 1.43 ya gb 5 hii hapa

Download - MEGA

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app

Dah kaka hi ya leo n shida mkuu
Unajua binafsi sikuwah ku downlod hi game kawaida
Mala zote hua ntumia torrents ile
Sas hi ya leo had nmeamua kuachana nayo
Kwanza ikiwa ipo 44% wakasema lazima u apdate ile web yao uilipie ndio iendelee au nisubiri masaa 6 yapite dah
 
Hahah dah free account wanruhusu 2gb tu zaid ya hapo ulipie au usubir Masaa yao,,ila kuna njis moja ya ku bypass limitations,ngoja niweke link hapa iwasaidie wengine ambao hawajaanza

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
 
Ah mkuu ile si ndio ile ambayo ilianzia kwenye limitation
Itaendelea na hi yakawaida kweli?
Na pc nlishawasha na kuzima mala kadhaa
Maan hua mchakato nliufanya j2 had leo?
Utaendelea na ile ile,hii ni mpya kwaiyo ukitumia hii ujiandae.kuanza na moja..sema hii haina limit unapakua zako kwa IDM

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom