Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Unyama flani iviView attachment 2205174View attachment 2205175
Euro%20Truck%20Simulator%202%204_24_2022%203_29_50%20PM.jpg
 
Nataka nitafute spectre kaliiii nianze tena huu unyama maana nilikua na omen nikaiuza
 
Tafuta,kama unataka kwa bei nzuri agiza china..bongo wantupiga sana alaf ni refurbished nying
 
TANGAZO! TANGAZO!
TANGAZO!
ni kwa mara nyingine tena napenda kuitambulisha kwenu wapenzi wa game la ets2 modification ya ramani mpya iitwayo

Map Tanzania

ramani hii inauhalisia wa barabara,pamoja na miji ya tanzania ikiwa na miji mikuu miwili ambayo ni
[1]IRINGA
[2]MOROGORO

Pamoja na miji midogo midogo ambayo ni
{1}bwawani
{2}mikuni
{3}mikese
{4}ilula

pia map hii inaweza kutumika kwenye convoy sababu inakubali murtplayer

Map tanzania imepimwa na kupitishwa na wataalamu wautengenezaji wa mod mbalimbali hapa tanzania ambao ni
#Lembukazi
#Hood aka hoodland
#elias Ets2
#Mane Ets2

ramani hii ni maalumu kwa game la euro truck simulator 2 kuanzia version 1.39 to 1.43

ikiwa utapendezwa au utaihitaji ramani hii tafadhari wasiliana kwa namba hii +255746831395

sina mengi zaidi ya kuhitaji support yenu ili kazi iendeleee
Dah mkuu safi sana.
 
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Back
Top Bottom