Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Umedownload map kupitia link ipi? Nijuze tafadhali
Kwa mfano hapa[emoji116][emoji116]
IMG_20230220_132958_654.jpg
IMG_20230220_133013_238.jpg
 
Ram 4 naweza kucheza gemu za call of duty?
Yap unaweza cheza call of duty zifuatazo
1. Modern warfare zote za mwanzo
2. World at war
3. Black ops I n II

Nyongeza; medal of honor 2010
Battlefield 3
Crysis 1 n 2 n 3
Battlefield 1 ila hapa lazina pc
iwe na graphics card kama nvidia
gtx 950m
Sniper Elite 3
Ukimaliza hizo. Tafuta pc yenye uwezo mkubwa zaidi
 
Ahsante bro... Vp kuhusu magem ya pes
 
Back
Top Bottom