Wakujilipua
JF-Expert Member
- May 5, 2018
- 1,584
- 1,393
Ukwaju 😊Nipo Russia hapa,naona kuna mtu kala mzinga atakua ni nani?
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukwaju 😊Nipo Russia hapa,naona kuna mtu kala mzinga atakua ni nani?
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Tupo tupo sanaMafuta na vipuri vimepanda Bei naona uzi umepoa
Anaitwa Lembukazi.Mtengenezaji kabisa yupo dar, ofisi yake ipo boko
Aisee polee sana mkuuWaku nawasalimu sana nimepotea uku maana nilisafishwa sio poa yani but nitarudi kwa kishindo soon kwa wale wa comb map[emoji290][emoji289]
Aina shida kiongozi
Kweli aisee hukuonekana jamaa yetu lakini karibu uwanja ni wako jimwaye mwayeWaku nawasalimu sana nimepotea uku maana nilisafishwa sio poa yani but nitarudi kwa kishindo soon kwa wale wa comb map[emoji290][emoji289]
Inauzwa buku 5 tu njoo inbox uchukue link chapBoss nisaidie map mode hii
Hii mod siwez kuweka kwenye ets2 yangu version 1.36?ndugu wapendwa wa game la ets2 kutoka Tanzania hii ni taarifa kutoka Kwa mwandishi wa ramani ya project katashime.
ningelipenda kuutangazia umma ya kuwa. Kwa mala nyingine tena ile ramani iliyokuwa ukisubuliwa Kwa kipindi kirefu Kwa Sasa ishakamilika Kwa kiasi fulani na Iko tayali Kwa matumizi.
pia napenda kutoa shukrani za dhati Kwa woote mliokuwa mkinipea ushauli wa Nini kifanyike au Nini kiongezeke na kuifanya kazi iende vizuri hakika nawashuku sana.
hakika amani ni kubwa na Ina barabara ndefu sana na sinrahisi Kwa mtu kuanza safari na kuimaliza hapohapo
inasupport murtplayer na single player
pia inahitaji dlc za map ambazo ni
dlc Scandinavia
dlc going east
dlc France
dlc itary
dlc Iberia
dlc black sea
dlc Baltic sea
n.b ramani haiuzwi na itapatikana Bure kabisa kupitia website zote za kudownload mod.
na endapo ukipendezwa na hii kazi iliyofanyika unaweza kuchangia Kwa kiasi chochote Cha pesa ulichojaaliwa kupitia namba 0759016629 na mungu atakubaliki sana.[emoji1666]
Link ya map
Save game profile
Download zone silence save game profile rar
Download File zone silence save game profile rarsharemods.com
Hii mod siwez kuweka kwenye ets2 yangu version 1.36?
Ni lazima u download link ya map na save game profile au uki download moja tu inatosha.ndugu wapendwa wa game la ets2 kutoka Tanzania hii ni taarifa kutoka Kwa mwandishi wa ramani ya project katashime.
ningelipenda kuutangazia umma ya kuwa. Kwa mala nyingine tena ile ramani iliyokuwa ukisubuliwa Kwa kipindi kirefu Kwa Sasa ishakamilika Kwa kiasi fulani na Iko tayali Kwa matumizi.
pia napenda kutoa shukrani za dhati Kwa woote mliokuwa mkinipea ushauli wa Nini kifanyike au Nini kiongezeke na kuifanya kazi iende vizuri hakika nawashuku sana.
hakika amani ni kubwa na Ina barabara ndefu sana na sinrahisi Kwa mtu kuanza safari na kuimaliza hapohapo
inasupport murtplayer na single player
pia inahitaji dlc za map ambazo ni
dlc Scandinavia
dlc going east
dlc France
dlc itary
dlc Iberia
dlc black sea
dlc Baltic sea
n.b ramani haiuzwi na itapatikana Bure kabisa kupitia website zote za kudownload mod.
na endapo ukipendezwa na hii kazi iliyofanyika unaweza kuchangia Kwa kiasi chochote Cha pesa ulichojaaliwa kupitia namba 0759016629 na mungu atakubaliki sana.[emoji1666]
Link ya map
Save game profile
Download zone silence save game profile rar
Download File zone silence save game profile rarsharemods.com
Nimejaribu imeshindikana[emoji106]Haiwezani
Kwa wapenzi wa online bus simulator IndonesiaNenda play store pakua Maleo bus simulator Indonesia.
Ulipata map mod mkuu?Jaman hebu mtupe izi ramani za tz na mabasi yake kumbe zipogoView attachment 2490745