DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
💯 TruthKuna baadhi y waganga wanawanga nao. Kuna waganga wana visa sana. Akikutibia anakuingiza kwenye mauza uza badala ya kupona yeye anakugeuza kuwa mteja wa kudumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
💯 TruthKuna baadhi y waganga wanawanga nao. Kuna waganga wana visa sana. Akikutibia anakuingiza kwenye mauza uza badala ya kupona yeye anakugeuza kuwa mteja wa kudumu
nimekukamata pabaya sana leo ajuza. shehe mwenzio aliyeswali na kusomea madina anamaanisha majini viumbe, sio maji. leo nimekushika pabaya.na huna jibu.Sisi kuswqali ni popote, iwe majini iwe baharinimradi muda ukifika, kusali ni lazima:
View attachment 2788025, View attachment 2788027
Hance haihitaji elimu ya Chuo kikuu kujua kwamba Tanzania ina lahaja si chini ya 50 kwahyo Kila sehemu ina lahaja zake na Uandishi wake Japo tulikubaliana kutumia Lahaja ya kimvita na kimtang'ata(Ambayo umeizoea kuiandika)Baadae ❎ Baadaye ✅
Ntarudi ❎ Nitarudi ✅
Hivi huko shule ulienda kusomea ujinga?
Kunipata "pabaya sana leo" unamaanisha nini? Mbona unaandika mambo ambayo hueleweki?nimekukamata pabaya sana leo ajuza. shehe mwenzio aliyeswali na kusomea madina anamaanisha majini viumbe, sio maji. leo nimekushika pabaya.na huna jibu.
Hoja yako ya msingi hapo ni ipi?Hance haihitaji elimu ya Chuo kikuu kujua kwamba Tanzania ina lahaja si chini ya 50 kwahyo Kila sehemu ina lahaja zake na Uandishi wake Japo tulikuabaliana kutumia Lahaja ya kimvita na kimtang'ata(Ambayo umeizoea kuiandika)
Haina maana kwamba lahaja zingine zitakuja..
Kwa mfano Usije ukashangaa kumkuta Mpemba kaandika Lahaja yake ukaona kama kakosea kiswahili
Au ukaona Mtanga kaandika lahaja yake..
Kwakuwa wwe ni mchaga Ukahisi Kakosea..
Lahaja zote hutumika na hakuna hata moja iliyokufa
Asante:
Vizuei ❎mmoja = jini
wengi = majinni.
Sasa wewe hujaandika sawa, ungeandika vizuei ningeshakujibu zamani sana. Haya swali lako ni ninikuhusu majinni?
Hoja yako ya msingi hapo ni nini?Vizuei ❎
Vizuri ✅
ninikuhusu ❎
nini kuhusu ✅
Rudi tena vidudu ukaanze upya.
Kama umeweza kujibu maana yake umeigundua hoja ya msingi niliyosema..Hoja yako ya msingi hapo ni ipi?
Je ,kwa kuwa muandishi ni mkurya akiandika "Kurara" badala ya "Kulala" tukubaliane naye tu kisa ni asili yake?
Haswaa! kama neno lake halitaweza kubadili maana na Taswira hasa ya kitamkwa...Hoja yako ya msingi hapo ni ipi?
Je ,kwa kuwa muandishi ni mkurya akiandika "Kurara" badala ya "Kulala" tukubaliane naye tu kisa ni asili yake?
Tuanzie hapa.Kama umeweza kujibu maana yake umeigundua hoja ya msingi niliyosema..
Narudia tena Katika kiswahili hakuna lahajabora kuliko lahaja zingine ila kuna makubaliano ya matumizi ya Lahaja kwamba lahaja ipi itumike kulingana na mahitaji ya jamii..
Nenda kwanza kasome kabla ha kumkosoa mwenzako..
Kongo wanaongea kiswahili na wote wanasikilizana ,Kenya wanaongea kiswahili na wote wanasikilizana..
Kiswahili kinachotumiwa kama Gold standard ama Kifani ni kiswahili cha pwani Hakuna anayeweza perfect kuongea kiswahili kizuri kwa sababu wote tunaongea Kiswahili kilicho Chotara au Jibini (Gibini)...
Kwako Mshana Jr tafadhali.WAKATI baadhi ya watu wakiepuka kabisa mijadala kuhusu uchawi na kutilia shaka kuwepo kwake kwa sababu ya jamii zetu kupokea imani ya Kikristo, na imani ya Kiislamu, wengine tunaendelea kutafiti mambo hayo kinaga ubaga.
Miongoni mwa vielelezo vinavyopatikana huko ni kwamba uchawi ni elimu ya ushetani. Ukishakua mchawi maana yake wewe ni shetani na utatumia nguvu za shetani ambazo kamwe haziwezi kusimama katika ulimwengu wa nuru
Vitu baadhi vinavyohitajika ili mchawi aweze kusafiri, leo tutazungumzia vitu viwili tu lakini vipo vingi sana.
1- 'Chishimba' (ni mafuta ya binadamu) mafuta haya anapaka usoni kila atakapo hitaji kuruka, akishapaka mafuta haya mchawi kamwe hawezi kuonekana wala hawezi kusikika wala hawezi kugusika.
2- Indeke (ndege ya kuruka) inayotumika kwa usafiri wa masafa marefu unaochochewa na damu ya binaadamu na majimaji ya sehemu za siri za mwanaadamu kama vile mbegu za kiume na maji ya ukeni (Huchanganywa kwa pamoja).
UCHAMBUZI WA MAFUTA YA BINAADAMU
Kwanini mchawi apake mafuta ya Binaadamu?
Kikawaida wao wanavyoeleza ni kwamba Mwanaadamu anamafuta aina mbili, moja ni mafuta mazito yanayopatika kwenye mishipa ya damu (Cholesterol) ni dutu ya nta inayopatikana katika damu ya mtu.
Mwili unahitaji Cholesterol ili kujenga seli zenye afya, lakini viwango vya juu vya kolesteroli vinaweza kuongeza hatari yako ya ugonjwa wa moyo. Katika uchawi inaaminika kwamba jini anayekuvaa mwilini ili akusafirishe katika giza, ataingia mwilini mwako pindi tu ukipaka hayo mafuta ya binaadamua ya 'Cholesterol' jini huyu atakusafirisha kwa kasi sana na atakufikisha popote unapotaka kwenda.
Mafuta mengine ni yale ambayo yapo nje ya mishipa ya damu ya mwanaadamu (Body Fatty) ambayo ni Mafuta ya mwili katika misuli ya mwanadamu, hivyo mchawi akipaka mafuta haya huingiwa na jini mwenye nguvu ambaye humsaidia kupata nguvu ya yeye kushiriki matendo yake ya kichawi. Cholesterol ni ya kusafiri, Body fatty ni ya kumpa mchawi nguvu. (Hayo ni masharti ya majini hao wawili).
Upatikanaji wa mafuta hayo?
Hayapatikani zaidi ya kuua mtu kisha kumbanika kwa kumchoma na kisha mafuta haya aina mbili huchujwa, na kugawanywa kila aina ya mafuta kwenye chupa lake.
Je! kama umeingia kwenye uchawi ni lazima uuwe ili upate hayo mafuta?
Hapana, sio lazima uuwe kwani yanapatika kwa kuuzwa kwenye vilinge vya wachawi ambapo gharama yake hufikia Tsh Milioni 8 hadi 10 kwa lita, ambayo yanaweza kudumu kwa miaka mingi kwa kadiri unavyotumia.
Pia sio binaadamu wote mafuta yao yanafaa kutumika, ni baadhi ya binaadamu ambao miili yao inasifa ambazo wao wanazijua. Mara nyingi wachawi wanaonekana ni masikini kwasababu pesa zao nyingi zinaishia huko.
Je! kama mchawi hana kiasi hicho cha pesa kwa ajili ya mafuta anafanyaje?
Ni rahisi sana, kwani anaweza kubebwa na wenzake wakaenda nae kuwanga pamoja. Huyu sasa atakua anapewa lifti na wenzake kwa kulipia gharama kidogo walau laki 1 hadi laki na nusu kwa safari.
Je! mafuta yakiniishia naweza kuuwa mtu nikambanika kama sitaki kununua?
Ndio, unaweza kuua mtu na ukamfanyia utaratibu huo kama unayo taaluma hiyo, hii ni kwasababu kuna kozi maalumu ya utengenezaji wa mafuta hayo, ambapo baadhi ya wachawi husomea namna ya kuchakata mafuta hayo, kama mchawi anaweza basi atafanya mwenyewe kwa kupata kibali maalumu kwa mkubwa wao, na kama hana taaluma hiyo basi atakwenda kununua kwenye kilinge cha mafuta.
UCHAMBUZI WA DAMU NA MAJIMAJI YA SEHEMU ZA SIRI
Kwanini sasa ndeke hiyo itumie damu ilihali tayari nimepaka mafuta ya binadamu na jini wa safari ameshanivaa?
Kwasababu ndeke ni chombo ambacho wewe utatumia kuwa juu yake baada ya jini kukuingi, jini anataka kukaa juu ya kitu ambacho kina uhai wa mwanaadamu ambayo ni damu, mbegu za uzazi na maji ya ukeni. Mchanganyiko huo ndio kama mafuta ya kafara ili jini aliyekuvaa aweze kukaa juu yake.
Napata wapi damu ya binaadamu?
Kwa kuua mtu ndio utaweza kupata damu ya binaadamu. Kwa namna gani? mchakato wake ni vilevile wakati wa kumbanika, basi damu hukusanywa kivyake.
Damu gani haswa inayohitajika?
Damu ya mtu yeyote inaweza kufanya kazi, lakini damu yenye kasi zaidi na inayopendwa zaidi na yenye gharama kubwa zaidi ni damu ya mtoto mchanga, ambayo huchanganywa na nyama ya kitovu cha mtoto mchanga pamoja na kondo la nyuma la uzazi baada ya kuzaliwa mtoto mchanga. Vinaweza kutoka kwa watoto tofauti au mtoto mmoja.
Damu hiyo ndio grade one, na yenye gharama kubwa sana haswa ikichanganywa na nywele za kwanza za mtoto mchanga alizo nyolewa na kucha zake za kwanza kukatwa.
Gharama ya damu iko vipi ikiwa nitahitaji kununua?
Kwakua damu inayohitajika huwa tayari imechanganywa na mbegu za uzazi na maji ya ukeni, gharama yake hufikia Tsh Milioni 3 - 4. Ikiwa ni damu ya mtoto mchanga ndio imetumika basi hufikia Tsh milioni 8-10 kwa lita1. Ambayo utaitumia kwa miaka mingi sana kulingana na matumizi yako.
Na vipi hayo majimaji ya uzazi na mbegu za kiume?
Majimaji hayo au mbegu hizo zinapatikana kwa wachawi kujamiina ya watu wakati wa usingizi. Nguvu hii ya wao kushiriki tendo na watu huipata kwa kutumia 'Mkanda wa ngozi wa chatu' ambao huvaliwa kiunoni na mchawi ambaye ana nia ya kufanya uzinzi na mke wa mtu mwingine au mume wa mtu wakati wanandoa wako kitandani. Mume au mke hupakwa mimea ili apate usingizi mzito huku mzinzi akilala kwa uhuru na mwenza wake. 'Ambapo kwa lugha ya sasa huitwa jini mahaba'
Hivyo ndivyo majimaji na mbegu huchukuliwa na kuchanganywa na damu ya binaadamu, na mafuta ya binaadamu hupakwa mwilini tayari kwa safari ya kuelekea popote.
Ufafanuzi wa picha;
Helikopta nyeusi kwa chini kuna kopo leusi lenye mafuta ya mchanganyiko wa damu na majimaji ya uzazi, helikopa nyingine utaona kabisa chupa lake la mafuta ya damu na majimaji ya uzazi liko pembeni. Sasa mchawi atakaa hapo juu baada ya jini wa safari kumvaa, kwa wale wanaotumia ungo zana hizo wanaziweka juu ya ungo.
Hiyo ya duara ndio 'Mkanda wa ngozi wa chatu' hutumika kushiriki tendo la ndoa na watu wakiwa usingizini, na hizo tube mbili ndio mafuta ya kupaka 'Body Fatty' na 'Cholesterol' huitwa 'Chishimba' kwa Pembeni ni nywele za mtoto.
Nenda ukadai wakurudishie ada yako .Hoja yako ya msingi hapo ni nini?
Ulimaanisha pijini(pidgin)?Kama umeweza kujibu maana yake umeigundua hoja ya msingi niliyosema..
Narudia tena Katika kiswahili hakuna lahajabora kuliko lahaja zingine ila kuna makubaliano ya matumizi ya Lahaja kwamba lahaja ipi itumike kulingana na mahitaji ya jamii..
Nenda kwanza kasome kabla ha kumkosoa mwenzako..
Kongo wanaongea kiswahili na wote wanasikilizana ,Kenya wanaongea kiswahili na wote wanasikilizana..
Kiswahili kinachotumiwa kama Gold standard ama Kifani ni kiswahili cha pwani Hakuna anayeweza perfect kuongea kiswahili kizuri kwa sababu wote tunaongea Kiswahili kilicho Chotara au Jibini (Gibini)...
Dah ndiyo Mkuu 😅😅 Akili ilikuwa inawaza Cheese dah Kweli kiswahili kigumuUlimaanisha pijini(pidgin)?
Sio sawa na haitakiwi kutumika kama nilivyosema mwanzo isipokuwa ziwe na maana au mlengo wa maana sawa..Tuanzie hapa.
"Kura" na "Kula" ni sawa?
Kabisaaa Nakubaliana na we kabisaHuu uzi aliutoa Kigoma, ukafutwa kwa kuingiza mambo ya Dini.
Tuheshimu nyuzi za watu.
Wengie tunajifunza humu, mjue adui yako.