Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuhh! Pole sanaSamahani ndg zangu niko nje ya mada,
Nahitaji mganga anaeweza kuua kwani kuna mtu kanifanyia uchawi nimefukuzwa kazi,sasa anajitapa mtaani kuwa sasa anaenda kuniua maana kazi ndo ilikuwa inanimate jeuri.
🤣 🤣 🤣Samahani ndg zangu niko nje ya mada,
Nahitaji mganga anaeweza kuua kwani kuna mtu kanifanyia uchawi nimefukuzwa kazi,sasa anajitapa mtaani kuwa sasa anaenda kuniua maana kazi ndo ilikuwa inanimate jeuri.
Basi roho yangu ni ya ngono sanaNdege moja ya kichawi staff jet inauzwa bilioni 900.
Inatoka Dar had NEWYORK kwa dakika tano speed ni kali sana.
Wanachofanya majini wanaichomoa Roho yako inatangulia mbele then mwili unafata.
Ndoto yoyote kuhusu upo sehem au mji Fulani ni maisha halisi ulienda,ukilala roho huwa inaacha mwili inaenda kuzunguka maeneo mengine ndo maana ya ndoto.
😂😂😂😂Jikabidi Mikononi mwa Mungu hawezi shinda vita yake🤣 🤣 🤣