Fahamu jinsi ya kutengeneza ndege ya kichawi, kwenda kokote Duniani

UKIFIKIRI KWA KINA UTAWASHUKURU WAZUNGU NA WAARABU KWA KUJA NA KUTUTOA HUMO, ENDAPO WASINGEKUJA SIJUI MPAKA LEO HII HALI INGEKUWAJE?, SIPATI JAWABU.
Wewe ni mpumbavu walikuondolea nguvu ya asili kupunguza upinzani wa kiuchumi, kitamaduni na kiteknolojia. Waliondoa nguvu sasa wanatutumikisha, wanaweza kutuvamia kijeshi wakijisikia sio zama zile.

Wao wanautimia.
 
Pana mshirikina,mwanga, mchawi, shetani ni watu wawili tofaut wanatofautiana madaraja tu.
Mwanga ni level ndogo ukitoka mwanga unakuwa mchawi, ukitoka level ya mchawi unapanda daraja unakuwa shetani
Sijui jf siku hizi vitoto vingi, huu ni uwezo mdogo sana wa kufikiri
 
Ndege moja ya kichawi staff jet inauzwa bilioni 900.
Inatoka Dar had NEWYORK kwa dakika tano speed ni kali sana.
Wanachofanya majini wanaichomoa Roho yako inatangulia mbele then mwili unafata.
Ndoto yoyote kuhusu upo sehem au mji Fulani ni maisha halisi ulienda,ukilala roho huwa inaacha mwili inaenda kuzunguka maeneo mengine ndo maana ya ndoto.
 
Mbona picha hazipo?
 
Wewe ni mpumbavu walikuondolea nguvu ya asili kupunguza upinzani wa kiuchumi, kitamaduni na kiteknolojia. Waliondoa nguvu sasa wanatutumikisha, wanaweza kutuvamia kijeshi wakijisikia sio zama zile.

Wao wanautimia.
Waafrika kwa nafsi zetu tungeumizana kweli, wangichinjwa watu hadharani kisa kupata mafuta na mengi tu ya hovyo hovyo, Note this, bora hata hao walikuja wakasema hili ni dhambi na hili si dhambi, elewa.
 
Kunipata "pabaya sana leo" unamaanisha nini? Mbona unaandika mambo ambayo hueleweki?

mmoja = jini
wengi = majinni.

Sasa wewe hujaandika sawa, ungeandika vizuri ningeshakujibu zamani sana. Haya swali lako ni nini kuhusu majinni?
OK, tuambie, inakuwaje mnaswali pamoja na jini (moja) na majini (mengi)? na kwanini mnayatreat kama viumbe wema?
 
Je kwa maelezo hayo umeijaribu hiyo ndege
 
Umeona sasa unavyojikanyaga mwenyewe.
Sijajikanyaga mkuu kutumia lahaja moja kwenda kuitumia kwenye lahaja nyingine ni vichekesho..

Kwamfano lahaja ya kunguja nyanya wanaita Tungule..
Ila kwa lahaja ya kinyamwezi tungule ni Ndulele..
Sasa ukienda ukaomba tungule kwa mnyamwezi utapewa ndulele na ukienda ukaomba tungule kwa muunguja utapewa Nyanya....
 

Sasa break anashikaje mkuu na anajuaje kama anakoenda kafika
 
Ni kitu gani kina motivate watu kuwa wachawi na kufanya mambo mabaya na machafu namna hii? mleta mada endelea kutujuza zaidi juu ya utafiti wako kuhusu hawa watu wa giza, na nilichogundua kwa sababu hawa watu wana siri kubwa na labda viapo na maagano makali ni vigumu kujua hata kama ni mzazi, mke au ndugu wa karibu ni mchawi......tumwombe Mungu aongeze ulinzi kwa watu wanaomtegemea na kumtumainia dhidi ya maovu wanayofanya hao wachawi....​
 

Naona na wewe umeleta habari ile ile kama jamaa mwingine anajiita sijui Kigoma kitu gani...

Aliweka uzi kama huu, sijui mnacopy sehemu moja halafu mnajifanya mnajua uchawi!!!
 
Naona na wewe umeleta habari ile ile kama jamaa mwingine anajiita sijui Kigoma kitu gani...

Aliweka uzi kama huu, sijui mnacopy sehemu moja halafu mnajifanya mnajua uchawi!!!
Jamii Forum ni Web ya Maarifa.
Wanachosema hawa waleta Uzi ni Ukweli unaofichwa.
Mi Kama wale Freemasonry wanavyoficha mambo yao.

Kinachosemwa ni Ukweli, ni Maarifa ya giza ambayo wanachama wake yaani Wachawi wanaficha.

Ukiona mtu anaeleza hivi ujue amekombolewa na nguvu za Mungu na kufanikiwa kuuacha Uchawi.

Mleta Mada endelea kutuhabarisha habari za Uchawi na Wachawi.
Mambo ya Indeke.
 
Wachawi wanapesa sana shida pesa zao utumika zaidi kwa shughuli za kichawi zaidi mfano kumuhonga mganga asimtibie mtu wao mganga akigoma anauliwa na wachawi, kulipa faini mfano akidakwa na radar za wenzake wachawi Wana mipaka huwezi ingia anga la wenzako bila ruhusa Yao, kuhonga njia, kununulia zana za kichawi nk
 
Yanaitwa mafuta ya Giza,hata wewe ukijipaka hauonekani unaingia popote uonekani.
Yanakuwezesha kupenya hata kwenye Ukuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…