Fahamu jinsi ya kutengeneza ndege ya kichawi, kwenda kokote Duniani

Fahamu jinsi ya kutengeneza ndege ya kichawi, kwenda kokote Duniani

mimi naomba nikuswalike kidogo
1.kwann wachawi wanajificha sana yani hawataki wajulikane km wanafanya uchawi?

2.je wachawi wanafurahia maisha km watu wasio wachawi maana naona km wanataabika sana kwa mfano usiku wkt watu wamelala wao wapo angani sijui makaburini na kwingineko. Je uchawi unalazimishwa kwamba ukiingia basi hamna kutoka maana ayo maisha naona km magum sn.

3.ivo vitu ulivoonesha pichani vipo laibrari au ni wapi apo?
 
1-Wanajificha kwasababu uchawi ni ushetani, shetani hataki nuru na mambo yake huwa ni ya siri na unayatafuta mwenyewe.

2-Asilimia kubwa ya wachawi wanarithi kutoka kwa wazazi wao au watu wao wa karibu, ni ngumu wewe kwenda moja kwa moja ukapata uchawi, gharama yake ni kubwa sana kuununua, wengi wanarthishwa. Maisha ya uchawi ni maisha ya tabu, dhiki, na kukosa amani. Mchana huwa wanajuta lakini usiku hubadilika na kuwa mashetani na roho ya kibinaadamu hukaa pembeni. Wanayofanya usiku wanayafurahia kwa asilimia kubwa, na pia sio kwamba mchawi anawanga siku zote hapana, siku zingine anashindikiza wenzake tu katika mission mbalimbali.

3-Vitu hivyo vinapatikana center ndogo ya elimu ya uchawi 'Moto moto Museum'
 
Back
Top Bottom