Fahamu jinsi ya kutengeneza pesa kutumia Mobile App

Mtoa mada unajifurahisha hivi maisha yangekuwa simple hivyo si kila mtu angekuwa coder?...Tuache uvivu kams tunapenda kupata hela via codes
hhahaha wewe jamaa hujielewi kabisa hivi kwenye maelezo yangu umeona nimefundisha mtu kufanya coding
usitake kila mtu afate mawazo yako kutengeneza funny app sio lazima ujue coding
blog app sio lazima ujue coding

kama umeshindwa kuelewa basi tulia tu
 
sasa kijana unajiona kuwa wewe ndo unajielewa? Nyie ndo makanjanja mjini mnatapeli watu na kuharibu industry nzima ya IT bongo
 
ok tufanye wewe mshindi sasa naona unatoa povu as if kuna mtu nimemdai hela hapo au nimetangaza soko la mtu kuja inbox

zama humo ujionee kazi iliyopo sokoni now mtandao.xyz halafu ndo uje useme
 
1606719660770.png
 
Sijatoa povu wewe ndo unatoa povu,vitu kama hivyo viaua vipaji na creativity wewe unadhani hao waliotengeneza hizo app creator wangekuwa wanafanya ukanjanja kama wewe ungeiona hizo creators?
 
sasa mbona hueleweki shida yako hasa
nimefanya ukanjanja wapi? au hiyo app creator ni yangu? au kuna mtu nimemuambia lazima atumie hiyo app creator?

kati ya mimi niliyesema unaweza tengeneza app bila kujua coding na walioleta hizo app creator nani anaua vipaji?

tumia akili kufikiri na sio emotions zako ulizonazo
 
Anyway pigana tu kivyovyote kitaa kizito ila kujua codes ni muhimu kuliko hizo shortcuts,have a good day
 
naona hapa ndo umepata akili ya kutoa ushauri kwa busara na sio yale maneno yako ya mwanzo
 
Hivyo kama huna blig na unaitaji kutengeneza App je unapiga vp pesa
 
Hii kitu
Habari za leo wandugu!

napenda kushirikishana nanyi jambo moja ambalo yamkini wengine walishalizungumzia au wanalifanya lakini sio mbaya na mimi nikiligua kwa nafsi yangu.

kwa kipindi hiki cha sasa kumekuwa na wimbi kubwa la kukosa ajira na hivyo kupelekea mai9sha kuwa duni kwa baadhi ya watu wengi lakini hiyo isiwe kigezo cha sisi kutokujaribu mambo mbali mbali hasa ya online kwa ajili ya kuona kama tutapata chhochote kitu.

kwanza tuanze kama ifuatavyo kama kichwa cha habari kilivyo kinahusu moja kwa moja masuala ya mobile app lakini mimi sizungumzii mambo ya coding yaani nazungumzia making app through other website that offer a free android app au application za kutengenezea appskuna site kama appgeyser, andromo, appcreator 24 sasa mimi nitazungumzia appcreator 24 ambayo inatoa nafasi nyingi za sisi kuweka matangazo.

APP CREATOR 24
View attachment 1604905

hiyo site inakupa uwezo wa kutengeneza apps nyingi sana kama lakini mimi nitazungumzia kwa wale wenye blogs au website hii ndio itawafaa zaidi.
hapa ina maanisha kwamba tunatoka kwenye ule mfumo wa mtembeleaji kuingia google kukutafuta na badala yake anakuwa na application yako ambayo atakuwa anapata taarifa bila mzunguko wowote ule.
Sasa tuanze kutengeneza app ya blog yetu ili tuelewane

HATUA YA KWANZA
jisajili kwa kubonyeza hapo APPCREATOR 24
kisha baada ya hapo bonyeza mahali palipoandikwa CREATE APP kisha utajaza taarifa kama unavyoona hapo chini
View attachment 1604919

Baada ya hapo bonyeza next utaletwa katika ukurasa huu hapo chini
View attachment 1604931

chagua muonekano kisha bonyeza next kisha utaletwa mahali pa kuchagua aina ya app unayotaka kama picha inavyoonyesha hapo chini
View attachment 1604932
sasa ukifika hapo chagua BLOG APP maana ndio nilichopanga kuelezea leo ukishabonyeza itafunguka sehemu inayofuata ambayo ndio ya muhimu sana
View attachment 1604935
jaza jina la blog yako kisha chini ingiza link ya blog yako kwa usahihi kisha bonyeza next na tutakuwa tumemaliza kutengeneza app yetu utabonyeza hapo GO TO APP MANAGER
View attachment 1604938
HATUA YA PILI
twende tukaingize matangazo katika app yetu hata kabla hatujaijaribu ili kuokoa muda
tutaenda kutumia site ya STARTAPP ili kuwekamatangazo yetu
View attachment 1604946
jisajili hapa STARTAPP ili twende pamoja
View attachment 1604951
baada ya kujisajili sasa bonyeza mahali pameandikwa my apps kisa bonyeza mahali pameandikwa add new app baada ya kubonyeza hapo utaletwa sehemu ya kuweka app url yako sasa kwa kuwa sisi hatujaiweka app yetu play store tunatakiwa tubonyeze pale chini palipoandikwa click here
baada ya hapo utatakiwa uingize app name na app platform
View attachment 1604956
kisha tutabonyeza add app
View attachment 1604958

sasa tumefikia pazuri tunywe maji kidoooogooooo

haya tuendelee sasa copy hiyo app ID utakayopewa hapo
baada ya ku copy twende kwenye ile site yetu ya mwanzo app creator 24
bonyeza mahali pameandikwa Ads paste ID yako mahali husika kwenye collumn ya startapp kama picha inavyoonyesha
View attachment 1604967
baada ya kumaliza hatua zote hizo bonyeza save kisha nenda mahali pameandikwa download app bonyeza hapo ili kuipakua app yetu
sasa wakati unaipakua usisahau ku copy link yake ambayo utaikuta ndani ya maelezo kama kwenye picha hapo chini
View attachment 1604973
baada ya kucopy link twnde kwenye site ya startapp ili tukamalize kazi bonyeza my apps kisha utaona app yako imeandikwa missing url
View attachment 1604975

bonyeza hapo ili tuiweke ile link yetu ya app tuliyoicopy muda mfupi uliopita kisha chagua category na app maturity kama picha inavyoonesha kisha bonyeza alama ya tiki
View attachment 1604986

mpaka hapo tumeshamaliza kila kitu now ni wakati wa ku install app yetu ili kuijaribu
View attachment 1604992

View attachment 1604994

now tumemaliza topic yet ya leo kama hujaelewa nakukaribisha DM kwa msaada zaidi
mbarikiwe

kujisajili bonyeza hapa APPCREATOR 24
kujisajili bonyeza hapa STARTAPP
 
Vipi hizi App naeza peleka Playstore broo
 
Sasa na kwa sisi ambao hatuna website wala kuwa na blog tunafanyaje
 
Back
Top Bottom