Fahamu jinsi ya kutunza ngozi, iwe yenye afya na inayovutia zaidi

Tumia Palmers (jaribu. Na uso unapotezaje Nuru? Nifafanulie
Nikitumia sioni mabadiliko mazuri, kama yananikataa hivi. Hayo ya American dream nilijikaza kama wiki 2 nione kama uso utazoea lakini ukagoma, zaidi nilipata vile vipele vidogo vidogo vya baridi.
 
Nikitumia sioni mabadiliko mazuri, kama yananikataa hivi. Hayo ya American dream nilijikaza kama wiki 2 nione kama uso utazoea lakini ukagoma, zaidi nilipata vile vipele vidogo vidogo vya baridi.
Kama uko Dar nikuelekeze kwa mtu mwenye duka la cosmetics alinisaidia sana. Nilikuwa na uso usio na shukran, amenipa losheni nzuri, unamwambia tatizo lako anakuchagulia losheni /body cream anayoona itakufaa kulingana na shida yako, nimekuwa soft sana, mpaka watu wananiuliza napaka nini... Amewasaidia pia rafiki zangu na wameona matokeo mazuri.

Kama uko mkoani anakusudia pia, kama ni bidhaa anakutumia kwa bus.

Ukiwa tayari nipm nikupe contacts zake
 
PM yako imefungwa nataka unielekeze lotion

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana
 
Weka hapa hata IG yake
 
Hii itakua biashara matangazo hii [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa, kama ye alisaidiwa kuoneshwa duka basi aweke hapa namba za muuzaji mambo ya kufatana PM ya nini!!

Yan ndio kama wale wa Instagram anaweka bidhaa haweki bei, ukivutiwa ukamuuliza bei anakupa linamba umfate What's app' nikishaonaga hivi naweka walakini na bidhaa zako baki nazo
 
Niko dar msaada zaidi please
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Kweli huwa wanakera ukiuliza bei unajibiwa njoo what's app ..mood yote inakata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…