Norbert Cheyi
Member
- Jun 11, 2017
- 86
- 43
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naamini kunywa sana maji kunanisaidia urembo wangu na mafuta ya nazi.
😂😂😂 mkuu huko sigusiMwili mzima?
Aisee kidume hatakiwi kupaka mafuta kwny kalio arifu.
Tumia Palmers (jaribu. Na uso unapotezaje Nuru? NifafanulieWenye ngozi kavu
Nimetumia hayo ya nazi, vaseline, cocoa butter lemon ya American dream lakini sijawahi kuona matokeo mazuri zaidi ya uso kupoteza nuru.
Msaada tafadhali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikitumia sioni mabadiliko mazuri, kama yananikataa hivi. Hayo ya American dream nilijikaza kama wiki 2 nione kama uso utazoea lakini ukagoma, zaidi nilipata vile vipele vidogo vidogo vya baridi.Tumia Palmers (jaribu. Na uso unapotezaje Nuru? Nifafanulie
Ni kufubaa.Tumia Palmers (jaribu. Na uso unapotezaje Nuru? Nifafanulie
Kama uko Dar nikuelekeze kwa mtu mwenye duka la cosmetics alinisaidia sana. Nilikuwa na uso usio na shukran, amenipa losheni nzuri, unamwambia tatizo lako anakuchagulia losheni /body cream anayoona itakufaa kulingana na shida yako, nimekuwa soft sana, mpaka watu wananiuliza napaka nini... Amewasaidia pia rafiki zangu na wameona matokeo mazuri.Nikitumia sioni mabadiliko mazuri, kama yananikataa hivi. Hayo ya American dream nilijikaza kama wiki 2 nione kama uso utazoea lakini ukagoma, zaidi nilipata vile vipele vidogo vidogo vya baridi.
PM yako imefungwa nataka unielekeze lotionKama uko Dar nikuelekeze kwa mtu mwenye duka la cosmetics alinisaidia sana. Nilikuwa na uso usio na shukran, amenipa losheni nzuri, unamwambia tatizo lako anakuchagulia losheni /body cream anayoona itakufaa kulingana na shida yako, nimekuwa soft sana, mpaka watu wananiuliza napaka nini... Amewasaidia pia rafiki zangu na wameona matokeo mazuri.
Kama uko mkoani anakusudia pia, kama ni bidhaa anakutumia kwa bus.
Ukiwa tayari nipm nikupe contacts zake
Asante sanaKama uko Dar nikuelekeze kwa mtu mwenye duka la cosmetics alinisaidia sana. Nilikuwa na uso usio na shukran, amenipa losheni nzuri, unamwambia tatizo lako anakuchagulia losheni /body cream anayoona itakufaa kulingana na shida yako, nimekuwa soft sana, mpaka watu wananiuliza napaka nini... Amewasaidia pia rafiki zangu na wameona matokeo mazuri.
Kama uko mkoani anakusudia pia, kama ni bidhaa anakutumia kwa bus.
Ukiwa tayari nipm nikupe contacts zake
Weka hapa hata IG yakeKama uko Dar nikuelekeze kwa mtu mwenye duka la cosmetics alinisaidia sana. Nilikuwa na uso usio na shukran, amenipa losheni nzuri, unamwambia tatizo lako anakuchagulia losheni /body cream anayoona itakufaa kulingana na shida yako, nimekuwa soft sana, mpaka watu wananiuliza napaka nini... Amewasaidia pia rafiki zangu na wameona matokeo mazuri.
Kama uko mkoani anakusudia pia, kama ni bidhaa anakutumia kwa bus.
Ukiwa tayari nipm nikupe contacts zake
Hii itakua biashara matangazo hii [emoji23][emoji23][emoji23]Weka hapa hata IG yake
HongeraMie pia natumia dettol kuogea,siku zote miaka yote
Lotion Ingram
Kabisa, kama ye alisaidiwa kuoneshwa duka basi aweke hapa namba za muuzaji mambo ya kufatana PM ya nini!!
Niko dar msaada zaidi pleaseKama uko Dar nikuelekeze kwa mtu mwenye duka la cosmetics alinisaidia sana. Nilikuwa na uso usio na shukran, amenipa losheni nzuri, unamwambia tatizo lako anakuchagulia losheni /body cream anayoona itakufaa kulingana na shida yako, nimekuwa soft sana, mpaka watu wananiuliza napaka nini... Amewasaidia pia rafiki zangu na wameona matokeo mazuri.
Kama uko mkoani anakusudia pia, kama ni bidhaa anakutumia kwa bus.
Ukiwa tayari nipm nikupe contacts zake
Jaribu sabuni ya Asante ya ukwaju itakusaidiaMi ngozi yangu ni ya mafuta yani vile vi chunus vidogo vinasumbua sana
Sent using Jamii Forums mobile app
😄😄😄😄😄😄 Kweli huwa wanakera ukiuliza bei unajibiwa njoo what's app ..mood yote inakataKabisa, kama ye alisaidiwa kuoneshwa duka basi aweke hapa namba za muuzaji mambo ya kufatana PM ya nini!!
Yan ndio kama wale wa Instagram anaweka bidhaa haweki bei, ukivutiwa ukamuuliza bei anakupa linamba umfate What's app' nikishaonaga hivi naweka walakini na bidhaa zako baki nazo