Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,394
- 59,069
Sabuni African blacksoap or maakari shower gel
Mafuta huwa napaka ya Nazi(yasiyopikwa) vilevile natumia snail repairing cream
Usoni napakaa serum Aina mbili ya snail golden au yenye argan +vitamin E oil
Scrub natumia yenye kahawa mdalasini na kungumanga or yenye mchanganyiko wa mchele oats na asali
Pia huwa natumia cleanser walau Mara 1 kwa week na toner pia.
Mask natumia clay yenye matcha/spirulina(inategemea siku hiyo najisikia kutumia ipi)
Mnywaji mzuri wa maji mengi na juice carrot
[emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app