Fahamu jinsi ya kutunza ngozi, iwe yenye afya na inayovutia zaidi

Fahamu jinsi ya kutunza ngozi, iwe yenye afya na inayovutia zaidi

Mwilini napaka mafuta ya nazi, usoni napaka lotion na nina rangi moja mwili mzima. Nikiwaambia watu ninachopaka hawaamini maana nina rangi nzuri mwilini (sijisifii) mpaka najionea wivu.
Sabuni mie yoyote tu.
Sio mtu mwenye hekaheka na mwili wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mafuta ya nazi yapi
Parachuti
Minara
Halisi
Au unachemsha mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanzoni nilikuwa napata tabu chunusi ndio ugonjwa wangu, Kuna mmama nilikutana naye akanisidia sielew kitu gani kile ila anadai anachanganya mayai, kitunguu na asali na paka mwili mzima jamani nimekuwa laini mpaka najitamani chunusi , kwarara zote hamna. Sabuni natumia ya jorjous .
Kwahiyo huo mchanganyiko hauharibiki? Yai hili hili? Shombo vp?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Uzi wanaume wanachangiaje?
Si tuangalie tu mpambano.
Dume hatupaki mafuta.
COVID 19 tu ndio inatuapakisha na Sanitizers, mwanaume ni ugumuugumu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanzoni nilikuwa napata tabu chunusi ndio ugonjwa wangu, Kuna mmama nilikutana naye akanisidia sielew kitu gani kile ila anadai anachanganya mayai, kitunguu na asali na paka mwili mzima jamani nimekuwa laini mpaka najitamani chunusi , kwarara zote hamna. Sabuni natumia ya jorjous .
Naomba namba ya huyo mama (PM) nimsaidie mtu wangu mmoja
 
Back
Top Bottom