Fahamu jinsi ya kutunza ngozi, iwe yenye afya na inayovutia zaidi

Fahamu jinsi ya kutunza ngozi, iwe yenye afya na inayovutia zaidi

nilikua napaka parachute mwili mzima nlikuwa na rangi yangu nzuri tu nkahamia kwenye botour nikawa mweupe nikaiacha nkapaka american dream promo nyingii ila ya kawaida labd haikunipenda ila niliona ya kawiada sana rafk ang mmoja akanishaur kupaka clinik clear nachangya na glycel ya kopo lile la njano nkamuona huyu shoga vp kwa nn asipake yeye akasema wenye ngz kam yang maji ya kunde ndo inawapendeza sana kaona watu km 3 ofsn kwao wametumia wana rangi nzur mnooo nkabisha akaninunulia mwenyew gharama yake ni kama elf 10 tu nkachkua nkaanza kupaka ivo ivo yan uku naogpa san mara rangi inanoga aisee nimekuwa mzur rangi ya chocolote sas iv nimeshtmia km kopo 3 😀 alf very cheap

Sijui nikuige[emoji2]
 
Yaani wewe mimi kabisa na ngozi yangu ya mafuta ndio maana nimetulia kwenye boutour naona kidogo imeupenda uso wangu

Tupo pamoja kwenye boutoer sema nilikua napaka hadi mwilini now nimeacha napaka usoni tu.

Mwilini Queen Elizabeth nimechanganya na serum ya American dream karangi kamezidi kuwa kataamu
 
Tupo pamoja kwenye boutoer sema nilikua napaka hadi mwilini now nimeacha napaka usoni tu.

Mwilini Queen Elizabeth nimechanganya na serum ya American dream karangi kamezidi kuwa kataamu
Dear ulikua unapaka mpaka mwilini [emoji1787] si hata week haijamaliza
 
napaka alovera jelly
baada ya nusu saa naondoa na maji
kama nipo nyumbani napaka mafuta ya nazi
kama natoka napaka lotion ya rinju ambaye ina mchanganyiko wa shea butter
ngozi inakuwa ya kung'aa inavutia na kupendeza
 
Huenda tatizo lako na lako ni tofauti, mimi alinipa Botour pamoja na Palmer's skin therapy oil, ambayo sijui kama kwako ita work kwa tatizo ulilonalo.
Botouer ilikuwa nzuri sana sana ..ila sasa hivi ziko fake nyingi sn au la mzalishaji kashusha kiwango. For me was good..natoka wamechakachua niko njia panda
 
Back
Top Bottom