Fahamu kama iphone yako ni Brand new au refurbished pamoja na origini ya iphone.

Kumekuwa na maswali mengi sana kuhusu simu janja iphone wengi wamekuwa wakipigwa na kuuziwa simu feki, refurbished nk. Nikaona ni busara nikaandaa uzi kuhusu iphone users na ambao wanataka kuanza kutumia iphone waweze kuelewa vitu muhimu kuhusu iphone.

Leo nitazungumzia namna ya kujua kama simu ni brand new, Refurbished. Sasa hapa twende taratibu iphone ikiwa brand new hapa inamaanisha wewe ndo unaanza itumia kwa mara ya1, nenda “setting “ kisha “general” afu nenda option ya “about” hapo utaona sehem imeandikwa “model number” kama inaoonesha kwa picha hapo chini.,
View attachment 1659634

Herufi ya kwanza ndo inaonesha kama simu ni new au refurbished
[emoji117] M = Brand new
F= Refurbished
Ukiona iphone yako kwenye model number imeanza na “M” jua hio iphone ni brand new ila kama utaona “F” basi jua hio iphone ni refurbished.

Jambo la 2 kujua origin ya iphone, hapa wengi tumetofautiana sana iphone zinatengenezwa kutokana na mazingira ya nchi husika ndomana iphone ya uk, US au china zinakuwa sawa ila kila kitu lakn kuna vitu ndani special kwa sehem husika. Japo kibongo tunatumia sana za china, uk na US. Swali linakuja utajuaje origin ya iphone yako?? Ni simple tu kama nilivoelekeza hapo juu utarud palepale kwenye “Model number” ili kujua origin yake kuna herufi zinawakilisha
View attachment 1659635

LL= USA
BT/ZO= Uk
C/A= canada
CH= china
AB = saudi Arabia , UAE

Sasa herufi za mwisho kabla ya slash ndo znaonesha origin ya iphone yako mfano hapa yangu origin yake ni USA .

Hio model number inaonesha kama simu ni mpya, refurbished nk na origin ya simu kama hujaelewa karibu kwa maswali.

Haya, rudisha simu kwa Mama yako Monica sasa!
 
Mkuu ...KN/A ni nchi gani?
 
asante sana tupunguze kupigwa
 
Asante kuna simu ya jamaa hapa inaanza na N tumejaribu kuitazama kwenye web support ya apple inatambulika, tumeangalia kwenye imei check iko correct, tumeangalia tcra imei check pia iko sawa. Namba za model ni LL/A niambie hiyo ni nchi gani?

USA/canada
 
iPhone ni iPhone sijui unauziwaje Feki kuna watu 2020 bado akili za kujua feki na OG ni Tatizo bado sio simu tu hata vitu vingine unauziwaje feki .?? SMH[emoji2957]
 
Mmekagua iphone zenu?? Leten mrejesho[emoji28]

Adjustments.jpg

Mrejesho
 
Back
Top Bottom