Fahamu kama iphone yako ni Brand new au refurbished pamoja na origini ya iphone.

Fahamu kama iphone yako ni Brand new au refurbished pamoja na origini ya iphone.

iko vizuri ila huwezi ilinganisha na 7plus.
ina ram 2gb wakati 7plus ina 3gb.
ina camera nzuri ya 12mp,ila 7plus ina dual camera inapiga potrait.

yaani kigugumizi labda 6s vs 7plain,ingawa nazo hazilingani.
Nataka niachane na Samsung sasa nisije vamia kambi kichwa kichwa
 
Nataka niachane na Samsung sasa nisije vamia kambi kichwa kichwa
pengine kwa model hizo unaweza usiridhike na perfomance ya betry.

sijajua ulikiwa unatumia samsung gani ili nijue kama utavumilia tu,ila nakazia 7plus kwa maamuzi yoyote.maana una uhakika wa kupata update mpaka ios 15.
 
Samsung A50 ndio natumia mkuu simu ya mwaka jana tu
 
Samsung A50 ndio natumia mkuu simu ya mwaka jana tu
hii hapa unawezajutia,maana utahisi ni kama iphone inavuja.

ila sio ishu ukiona roho imekuwa radhi sana nunua,utakuwa unazima data,iphone ukizima data inatunza chaji kiasi fulani.
 
Hizo mkuu ni zile tu zinazopitia mfumo wa apple services center tu zingine zinakuwa bado ni refurbished china na kwingineko
 
Back
Top Bottom