Fahamu kama iphone yako ni Brand new au refurbished pamoja na origini ya iphone.


Hii yangu ndo feki au sielewi[emoji38] haina cha M wala F ila ni N
 
iPhone ni iPhone sijui unauziwaje Feki kuna watu 2020 bado akili za kujua feki na OG ni Tatizo bado sio simu tu hata vitu vingine unauziwaje feki .?? SMH[emoji2957]

Tumetofautiana kuna wengine ambao hawajai kumiliki wanakua na mihemuko
 
AA/A hii itakuwa ni ya wapi mkuu
 
Mkuu kwa sasa Iphone gani ndio nzuri ya kununua kwa utaalamu wako, kati ya 6+ na 7+
 
Mie yangu ni m mwanzo mwisho ni H/A itakuwa ya wapi japo alonipa alisema ni ya germany
 
6s+ ikoje mkuu kwa matumizi ?
iko vizuri ila huwezi ilinganisha na 7plus.
ina ram 2gb wakati 7plus ina 3gb.
ina camera nzuri ya 12mp,ila 7plus ina dual camera inapiga potrait.

yaani kigugumizi labda 6s vs 7plain,ingawa nazo hazilingani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…