Chairman Lee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,353
- 1,492
Nataka niachane na Samsung sasa nisije vamia kambi kichwa kichwaiko vizuri ila huwezi ilinganisha na 7plus.
ina ram 2gb wakati 7plus ina 3gb.
ina camera nzuri ya 12mp,ila 7plus ina dual camera inapiga potrait.
yaani kigugumizi labda 6s vs 7plain,ingawa nazo hazilingani.
pengine kwa model hizo unaweza usiridhike na perfomance ya betry.Nataka niachane na Samsung sasa nisije vamia kambi kichwa kichwa
Samsung A50 ndio natumia mkuu simu ya mwaka jana tupengine kwa model hizo unaweza usiridhike na perfomance ya betry.
sijajua ulikiwa unatumia samsung gani ili nijue kama utavumilia tu,ila nakazia 7plus kwa maamuzi yoyote.maana una uhakika wa kupata update mpaka ios 15.
Baki kwenye simu yako....utatembea na power bank muda wote....labda ununue i phone 11 kwenda juuSamsung A50 ndio natumia mkuu simu ya mwaka jana tu
hii hapa unawezajutia,maana utahisi ni kama iphone inavuja.Samsung A50 ndio natumia mkuu simu ya mwaka jana tu
Duuuh hatari man nilitaka kubadilisha fleva mzeeBaki kwenye simu yako....utatembea na power bank muda wote....labda ununue i phone 11 kwenda juu
Sawah sawah mkuu pamoja ssna.hii hapa unawezajutia,maana utahisi ni kama iphone inavuja.
ila sio ishu ukiona roho imekuwa radhi sana nunua,utakuwa unazima data,iphone ukizima data inatunza chaji kiasi fulani.
Nunua iphone 12 ndio utaifurahiaSamsung A50 ndio natumia mkuu simu ya mwaka jana tu
Hilo neno mzee .Nunua iphone 12 ndio utaifurahia