adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 3,152
- 4,843
Umenifanya nimecheka sana Mkuu..Asante kwa kuniongezea masiku ya Kuishi.Daaha kuna member mna mawazo kuntu san.na kama aliweka pesa kwenye akaunti nenda kawaombe uzitoe kwanza kabla hawajaifungia, kisheria hizo pesa ni zako
Na yeye kwanini anunue namba ambayo imesajiliwa
mkuu sioni haja ya kubishana hapa. kikubwa acheni waathirika tutoe maelezo kadri ya uzoefu.Umeenda mbali kidogo kidogo...n kwamba wakala
Sio useless...n kwamba kama umeenda kwa wakala wa voda atasajili line za wakala wa voda tu na sio mtandao mwingine ...hivyo sio rahis anapokuambia uweke tena dole gumba ukaweka kwenye mashine ya kusajili mtandao ambao n tofauti.
Na yeye kwanini anunue namba ambayo imesajiliwa
mkuu sioni haja ya kubishana hapa. kikubwa acheni waathirika tutoe maelezo kadri ya uzoefu.
mimi nilistuka siku hiyo wakala akikariri namba yangu palepale maana ilikuwa rahisi sana kwa vile ina sufuri nyingi nyingi.
nilikuwa nasajili laini 3: mbili za mtandao mmoja na moja ya mwingine. nakumbuka aliniuliza kwa card ya kwanza tu. awamu mbili alikuwa akiniamuru kuweka vidole tu.
nilipo mdadisi namba unaimudu vipi kuikariri akacheka akawa anairudia hadi mara 4 toka kichwani.
hata baada ya zoezi kukamilika, aliwasajilia wadada 4 nikasubiri kujifunza kitu, lkn akawa anajisemea nyie (wale wadada) kuwa namba zenu ni ngumu lkn ya jamaa huyu ni rahisi 198*051*3570*0001*1 niliondoka na mashaka kwamba huenda namba ilibaki inafanya biashara haramu
Sent using Jamii Forums mobile app
We upo kijijini nini, mawakala wapo haina mbili kuna mawakala ambao wanatumia kifaa kimoja chenye finga print icho kifaa kina application za mitandao yote yeye ni kuchagua tu voda au tigo au airtel na kuna mawakala wana application moja tu kama ya tigo ni tigo kaweka kwenye simu na kifaa cha finga print anachomeka kwenye simu anasajiliKifaa kimoja? Hapana mbona mimi nilienda kusajili kila laini niliweka kidole kwenye kifaa tofauti?
Sent using Jamii Forums mobile app
Inakuletea namba zote za mitandao yote zilizosajiliwa kupitia namba husika ya NIDA, unazozijua na hata usizozijua, legeza ubongo.
sio wote wananunuaNa yeye kwanini anunue namba ambayo imesajiliwa
Si kweli kama umepiga hio namba kwa laini ya voda inakuletea usajili wa voda pekee sio mitandao yote
Halotel inaonyesha namba zote za Halotel zilizosajili kwa NIN yako.
Ungeweza kunipa ufafanuzi bila hilo swali ulilouliza mbona jamiiforums kuna watu malimbukeni hiviWe upo kijijini nini, mawakala wapo haina mbili kuna mawakala ambao wanatumia kifaa kimoja chenye finga print icho kifaa kina application za mitandao yote yeye ni kuchagua tu voda au tigo au airtel na kuna mawakala wana application moja tu kama ya tigo ni tigo kaweka kwenye simu na kifaa cha finga print anachomeka kwenye simu anasajili
Hii ya kusajili lain nyingi bila kujua inawezekana anachofanya akishasajili ya kwanza anakwambia imegoma weka tena sasa wakati anaponyeza kwenye icho kifaa anaweza badilisha tigo, airtel akasajili hata lain nne
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimefanya hivyo nikaona kuna namba moja ya voda hata siijui alafu najaribu kipigia haipatikani
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda mtandao haukukaa sawa ...lkn ukimaliza kusajili unapata ujumbe kutoka kwenye mtandao husika kuwa umefanikiwa kusajii namba yako kwa alama za vidole, je haukupata namba yako?Nimesajili laini 2 kwa kitambulisho changu, lakin nikicheck kwa hiyo namba naona namba moja tu,
Sent using Jamii Forums mobile app
Tamalizana naye kimyakimya.Mpeleke mahakamani