Fahamu kama namba yako ya NIDA ilitumika kusajili laini za simu usizozifahamu kwa mawakala wajanja wa kusajili laini

Umeenda mbali kidogo kidogo...n kwamba wakala

Sio useless...n kwamba kama umeenda kwa wakala wa voda atasajili line za wakala wa voda tu na sio mtandao mwingine ...hivyo sio rahis anapokuambia uweke tena dole gumba ukaweka kwenye mashine ya kusajili mtandao ambao n tofauti.
mkuu sioni haja ya kubishana hapa. kikubwa acheni waathirika tutoe maelezo kadri ya uzoefu.

mimi nilistuka siku hiyo wakala akikariri namba yangu palepale maana ilikuwa rahisi sana kwa vile ina sufuri nyingi nyingi.

nilikuwa nasajili laini 3: mbili za mtandao mmoja na moja ya mwingine. nakumbuka aliniuliza kwa card ya kwanza tu. awamu mbili alikuwa akiniamuru kuweka vidole tu.

nilipo mdadisi namba unaimudu vipi kuikariri akacheka akawa anairudia hadi mara 4 toka kichwani.

hata baada ya zoezi kukamilika, aliwasajilia wadada 4 nikasubiri kujifunza kitu, lkn akawa anajisemea nyie (wale wadada) kuwa namba zenu ni ngumu lkn ya jamaa huyu ni rahisi 198*051*3570*0001*1 niliondoka na mashaka kwamba huenda namba ilibaki inafanya biashara haramu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sababu anataka kuwasiliana na watu japo yy hana kitambulisho cha taifa cha NIDA ushar akachukue cha kwake asitumie laini za watu maana kama kuna hera umeweka ni naiawap unakuwa umepoteza hera zako.
Na yeye kwanini anunue namba ambayo imesajiliwa
 
Hamna kila laini aliisajili itamdai a weka namba ya nida na alama ya kidole yaani finger print ya mkono wko sasa atautoa wapi huo mkono wako si mpaka ww uweke, usiwe na wasiwasi mkuu uko salama[emoji848][emoji23][emoji23][emoji23]
mkuu sioni haja ya kubishana hapa. kikubwa acheni waathirika tutoe maelezo kadri ya uzoefu.

mimi nilistuka siku hiyo wakala akikariri namba yangu palepale maana ilikuwa rahisi sana kwa vile ina sufuri nyingi nyingi.

nilikuwa nasajili laini 3: mbili za mtandao mmoja na moja ya mwingine. nakumbuka aliniuliza kwa card ya kwanza tu. awamu mbili alikuwa akiniamuru kuweka vidole tu.

nilipo mdadisi namba unaimudu vipi kuikariri akacheka akawa anairudia hadi mara 4 toka kichwani.

hata baada ya zoezi kukamilika, aliwasajilia wadada 4 nikasubiri kujifunza kitu, lkn akawa anajisemea nyie (wale wadada) kuwa namba zenu ni ngumu lkn ya jamaa huyu ni rahisi 198*051*3570*0001*1 niliondoka na mashaka kwamba huenda namba ilibaki inafanya biashara haramu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kifaa kimoja? Hapana mbona mimi nilienda kusajili kila laini niliweka kidole kwenye kifaa tofauti?

Sent using Jamii Forums mobile app
We upo kijijini nini, mawakala wapo haina mbili kuna mawakala ambao wanatumia kifaa kimoja chenye finga print icho kifaa kina application za mitandao yote yeye ni kuchagua tu voda au tigo au airtel na kuna mawakala wana application moja tu kama ya tigo ni tigo kaweka kwenye simu na kifaa cha finga print anachomeka kwenye simu anasajili

Hii ya kusajili lain nyingi bila kujua inawezekana anachofanya akishasajili ya kwanza anakwambia imegoma weka tena sasa wakati anaponyeza kwenye icho kifaa anaweza badilisha tigo, airtel akasajili hata lain nne

Ungeweza kunipa ufafanuzi bila hilo swali ulilouliza mbona jamiiforums kuna watu malimbukeni hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kudadeki kesho naenda Halotel nilisajili kweny shop yao na ndio ilikua ivyo ivyo yule muhudum alisema weka kidole nikaweka akasema toa weka tena nikaweka kumbe alishafanya yake na nimeangalia hapa nimekuta kuna namba nyingne imesajiliwa kupitia namba yangu ya nida nikimuona namkumbuka vzuri labda asiwepo atanitambua kudadeki mtu akifanya majanga uko nidakwe Mimi unaweza kabisa fungua kesi huu ni uhaini shenzi kabisa.
 
Back
Top Bottom