KIMOMWEMOTORS
JF-Expert Member
- May 17, 2018
- 358
- 675
- Thread starter
-
- #21
Hizo gharama sio fixed boss wangu, nimeweka kutokana na uzoefu wa vile tunavyoziagiza kwamba jumla ya gharama zake huanzia hiyo 14.5, bila kujali ni manual, auto au single au double tyre. Gharama hupanda au kushuka kidogo kulingana na uchache wa kilomita matunzo ya gari na maamuzi ya muuzaji wa JapanKwa hiyo No Mbili. Hiyo Bei ni kwa aina yoyote ya gearbox auto na manual au zinatofautiana? Na kuna zinakua na double tyre je na hizo bei ni kama uliyoorodhesha hapo?
Zipo boss. Za series ya injini bora ya 4D ni za kutafuta boss, ila nyingi ni series ya injini ya 4M ambazo hazishauriwi sana na mafundiMkuu hiyo Mitsubishi Canter ambayo haibinui huwa zipo pia Automatic?
Hivi Suzuki carry siwezi kupata za Milioni 7 siku hizi?Zipo boss. Za series ya injini bora ya 4D ni za kutafuta boss, ila nyingi ni series ya injini ya 4M ambazo hazishauriwi sana na mafundi
Sio rahisi boss, ila kwa 9m unaweza kupata tukishare nawe discount tunayopewa na supplier wa JapanHivi Suzuki carry siwezi kupata za Milioni 7 siku hizi?
Hongera sana kwa uchambuzi mzuri sana. Vipi kuhusu Totoya Dyna? Hujaziongelea kabisa, zipoje?Sio rahisi boss, ila kwa 9m unaweza kupata tukisharw nawe discount tunayopewa na supplier wa Japan
ok,ofisi zenu ziko wapi? hilo jina Kimomwe limetokana na sehemu inayoitwa Momwe?Sio rahisi boss, ila kwa 9m unaweza kupata tukisharw nawe discount tunayopewa na supplier wa Japan
Ndio boss, hizo ni gharama zote kama vile manumuzi Japan, transfer fee ya kutuma pesa Japan, usafiri, bima ya kutoka Japan, na ukaguzi wa kabla ya kuipandisha gari kwenye meli.hizi bei ni mpaka na usajili au ?
Ofisi zetu ziko Magomeni Mapipa Mkabala na kituo cha mwendo Kasi Jengo kubwa La Kijani Lenye Bank ya DTB, sisi tuko ghorofa yote ya Kwanza.ok,ofisi zenu ziko wapi? hilo jina Kimomwe limetokana na sehemu inayoitwa Momwe?
Toyota Dyna sifa zake haswa kwenye uimara wa gari ni nzuri zaidi ya Townace au Toyoace, ugumu wa body mpaka injini. Sijaiongelea sababu ni ngumu kuongelea gari zote hapa jambini ntawachosha wasomaji.Hongera sana kwa uchambuzi mzuri sana. Vipi kuhusu Totoya Dyna? Hujaziongelea kabisa, zipoje?
Hivi haiwezekani kupata ambayo haikutumika kabisa(mpya)? Na bei zinakuwaje?Hizo gharama sio fixed boss wangu, nimeweka kutokana na uzoefu wa vile tunavyoziagiza kwamba jumla ya gharama zake huanzia hiyo 14.5,bila kujali ni manual, auto au single au double tyre. Gharama hupanda au kushuka kidogo kulingana na uchache wa kilomita matunzo ya gari na maamuzi ya muuzaji wa Japan
Hizo za Cc 1500 ni adim kidogo kwa miaka ya zamani ambazo ndio zenye unafuu wa bei. Kama hii hapa chini gharama zake zimefika 15.8m ambayo hii ni ya mwaka 1997, zipo za Cc 1500 kwa miaka 2006 na nyingi zaidi ni miaka ya 2012 ambzo kwa wastani manunuzi yake tu bila ushuru ni zaidi ya 20m.Salama naomba garama za townace 4wd na 1500cc
Mpya unaweza pata boss ila gharama zinakua juu sana ndio sababu hizi gari za mizigo hua tunasubiri wenzetu watumie kwa kua pia zina maisha marefu kidogoHivi haiwezekani kupata ambayo haikutumika kabisa(mpya)? Na bei zinakuwaje?
Zinaanzia 65,000,000 bossHivi gari kama ERF ya UK inaweza kuwa kiasi gani? Tractor
Zifananishe na Mitsubishi canter basi hizo Toyota DynaToyota Dyna sifa zake haswa kwenye uimara wa gari ni nzuri zaidi ya Townace au Toyoace, ugumu wa body mpaka injini. Sijaiongelea sababu ni ngumu kuongelea gari zote hapa jambini ntawachosha wasomaji. Faida yake ya zaida ni kwamba zile za miaka sawa na Townace nyingi zina double cabin japo hii huganta saizi ya bodi la mizigo kupungua kidogo ukilinganisha na Townace