Proffesor
JF-Expert Member
- Aug 13, 2014
- 2,164
- 2,968
Tunaomba Uielezee kwa kina.... Na gharama zakeToyota Dyna sifa zake haswa kwenye uimara wa gari ni nzuri zaidi ya Townace au Toyoace, ugumu wa body mpaka injini. Sijaiongelea sababu ni ngumu kuongelea gari zote hapa jambini ntawachosha wasomaji. Faida yake ya zaida ni kwamba zile za miaka sawa na Townace nyingi zina double cabin japo hii huganta saizi ya bodi la mizigo kupungua kidogo ukilinganisha na Townace