Tunaomba Uielezee kwa kina.... Na gharama zakeToyota Dyna sifa zake haswa kwenye uimara wa gari ni nzuri zaidi ya Townace au Toyoace, ugumu wa body mpaka injini. Sijaiongelea sababu ni ngumu kuongelea gari zote hapa jambini ntawachosha wasomaji. Faida yake ya zaida ni kwamba zile za miaka sawa na Townace nyingi zina double cabin japo hii huganta saizi ya bodi la mizigo kupungua kidogo ukilinganisha na Townace
But limeenda shule!Ohhhh....
Kumbe hili ni tangazo la biashara...!!??
Nilikuwa naulizia pick up kama za Ford Ranger used, ambazo unaweza ukavalisha mfuniko kwa nyumaKuagiza ni nafuu kidogo. Na pia hizo gari Scania hazishuki thamani kwa haraka kama magari mengine. Gari ambayo sisi tunakuagizia kwa hiyo 75m ukiikuta mtu kaileta ili auze apate faida atakuuzia kwa 90m. Sisi hatuweki faida na hesabu ziko wazi kila hatua, sisi tunalipwa na supllier huko nje
Nikweli mkuu, ingawa hapa sisi wengine hapatuhusu kabisa..... Maana bado tupo kwenye viwango vya baisikeliBut limeenda shule!
I real appreciate brotherMuhim sana kushare mambo haya boss
Hii kama ni ya 2007 kwa CIF hiyo 9500 inafika kwa 47,785,000. Kuna ambazo zinakuja kwa CIF 7000 inayoweza kukufanya uokoe zaidi ya 5mNilikuwa naulizia pick up kama za Ford Ranger used, ambazo unaweza ukavalisha mfuniko kwa nyuma
kama kwenye picha hapo chini, ikiwa na mfuniko wake naweza kupata kwa sh ngapi hadi usajil na kila kitu
Hii nimekuta inauzwa dola 9,500 sijui kuiletea hadi Tz inakua sh. Ngapi, au inayofanania na hiyo
Pia ushauri wake kuhusu ugumu wa hyogari, maana nataka niwe naifanya ni ya kupiga kazi na pia familia kwa ajili ya kusafiri
View attachment 1237876
Kwa hiyo unamaanisha naweza kununua hata kwa milioni 42 sio? kwa milioni 30 siwezi kupata?Hii kama ni ya 2007 kwa CIF hiyo 9500 inafika kwa 47,785,000. Kuna ambazo zinakuja kwa CIF 7000 inayoweza kukufanya uokoe zaidi ya 5m
Achana na Habari za mafundi wa mtaani wanapotosha Sana watuZipo boss. Za series ya injini bora ya 4D ni za kutafuta boss, ila nyingi ni series ya injini ya 4M ambazo hazishauriwi sana na mafundi
Kabisa boss hii ukiwa na 42m unapata ambayo iko vizuri na hicho kifuniko chake ya 2007 ambayo inaonekana kua ya kisasa kidogo. Lakini kwa zile za 2003-2006 unaweza kupata hata kwa 36 na mara nyingi hazina kifuniko cha nyuma.Kwa hiyo unamaanisha naweza kununua hata kwa milioni 42 sio? kwa milioni 30 siwezi kupata?
asante sana kwa majibu mazuri, hapo kwenu mnaziagiza pia?Kabisa boss hii ukiwa na 42m unapata ambayo iko vizuri na hicho kifuniko chake ya 2007 ambayo inaonekana kua ya kisasa kidogo. Lakini kwa zile za 2003-2006 unaweza kupata hata kwa 36 na mara nyingi hazina kifuniko cha nyuma.
Tunaziagiza. Tupigie 0746267740 kwa mazungumzo zaidiasante sana kwa majibu mazuri, hapo kwenu mnaziagiza pia?
Salama wanajukwaa?
Leo tutagusia baadhi ya gari za mizigo ambazo hupendelewa zaidi hapa nchini kwetu Tanzania. Tutaziangalia kuanzia ndogo kabisa kuelekea zile kubwa...
Kilo 350 unazijua??
Kirikuu kirikuu kina kilo zisizopungua 600kg hiyo ya 350 ni yenu
Vipi kwenye bei Mkuu?Zipo boss. Za series ya injini bora ya 4D ni za kutafuta boss, ila nyingi ni series ya injini ya 4M ambazo hazishauriwi sana na mafundi