Fahamu kidogo kuhusu magari ya mizigo nchini Tanzania

Mkuu ,nasikia townace ziko za injini mbali mbali ,kama hutojali naomba kuzifahamu..!!,,
 
Je mna utaratibu wa kukopesha magari? Mfano kulipa 30% mwanzo na kulipa kiasi fulani kila mwezi. Kama nahitaji SCANIA G 420 flatbed
 
Huu uzi ni wa kuutunza kabisa ipo siku utanisaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…