OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Huyu Sadio alikuwa Man of the Match CHAN2020 huko Comeroon.
Sadio akawa Man of the Match kwa mara ya pili CHAF2020
Kisha akaipeleka Mali fainali ya CHAN2020 ikicheza na mabingwa Morroco ambapo Mali ilitolewa kwa 2-0, Februari 2021. Huko Morroco katika games zote alizocheza alikuwa anaongoza kwa accurate passes
Mwisho Sadio akawa kwenye kikosi bora cha CHAN2020.
Najua kina Utopolo wanaumia na hizi data,nyie tukutane Ngao ya Jamii tuwachezeshe Ndombolo ya Solo
Wale vigogo wenzetu Afrika tukutane Nusu Fainali CAFCL