OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
nikumbushe broUnamkumbuka Shevichenko bro!? ...
Ndio unataka kusemaje.. Nawe unamkumbukaa aguero.. ATM moto kaenda MAN CITY ndio balaa likazidi.Unamkumbuka Shevichenko bro!? ...
Jamaa wanalilia kuingia kupiga picture hukoView attachment 1900785
Huyu Sadio alikuwa Man of the Match CHAN2020 huko Comeroon.
View attachment 1900786
Sadio akawa Man of the Match kwa mara ya pili CHAF2020
Kisha akaipeleka Mali fainali ya CHAN2020 ikicheza na mabingwa Morroco ambapo Mali ilitolewa kwa 2-0, Februari 2021. Huko Morroco katika games zote alizocheza alikuwa anaongoza kwa accurate passes
View attachment 1900787
Mwisho Sadio akawa kwenye kikosi bora cha CHAN2020.
Najua kina Utopolo wanaumia na hizi data,nyie tukutane Ngao ya Jamii tuwachezeshe Ndombolo ya Solo
Wale vigogo wenzetu Afrika tukutane Nusu Fainali CAFCL
wanashindwa kusema ukweli eti wanasema mashabiki wanawalalamikia 🤣🤣🤣🤣Jamaa wanalilia kuingia kupiga picture huko
Badae akiuzwa msianze kuuliza pesa imeingizwa akaunti ipi!!?hapa muhindi kaupiga nwingi
Kumbe bado kilaza......Saido Kanoute ni mchezaji mchanga hajawahi kucheza kwenye mashindano makubwa ata mechi moja labda michuano ya Afrika ya wachezaji wa ndani, michuano ya Ligi ya Mabingwa na Confederation amecheza dk 500. Hajawai kufunga goli Wala kusababisha goli.
Ni mchezaji ambaye bado haijacheza mechi nyingi za kimataifa kwa ujumla ni mchezaji ambaye bado mchanga ndio ana chipukia. Ata kwenye iyo timuyake aliyotoka St Malien katika mechi za Klabu bingwa ameanza chache zingine ametokea bench.
Simba wangemuona huyo dogo namba 10 pengo la chama lisingeonekana kwa kiasi kikubwa.View attachment 1900785
Huyu Sadio alikuwa Man of the Match CHAN2020 huko Comeroon.
View attachment 1900786
Sadio akawa Man of the Match kwa mara ya pili CHAF2020
Kisha akaipeleka Mali fainali ya CHAN2020 ikicheza na mabingwa Morroco ambapo Mali ilitolewa kwa 2-0, Februari 2021. Huko Morroco katika games zote alizocheza alikuwa anaongoza kwa accurate passes
View attachment 1900787
Mwisho Sadio akawa kwenye kikosi bora cha CHAN2020.
Najua kina Utopolo wanaumia na hizi data,nyie tukutane Ngao ya Jamii tuwachezeshe Ndombolo ya Solo
Wale vigogo wenzetu Afrika tukutane Nusu Fainali CAFCL
Jesus Moloko kacheza mechi ngapi za kimataifa na ana magoli mangapi ?Saido Kanoute ni mchezaji mchanga hajawahi kucheza kwenye mashindano makubwa ata mechi moja labda michuano ya Afrika ya wachezaji wa ndani, michuano ya Ligi ya Mabingwa na Confederation amecheza dk 500. Hajawai kufunga goli Wala kusababisha goli.
Ni mchezaji ambaye bado haijacheza mechi nyingi za kimataifa kwa ujumla ni mchezaji ambaye bado mchanga ndio ana chipukia. Ata kwenye iyo timuyake aliyotoka St Malien katika mechi za Klabu bingwa ameanza chache zingine ametokea bench.
Si dhani kama ana mjua hata huyo Shevichenko. 😂 😂Unamkumbuka Shevichenko bro!? ...
naona mnakubaliana kama utopoloKumbe bado kilaza......
Simba wamechanganyikiwa na hilo jina Kanoute
Jesus Moloko ana miaka 23, amecheza mechi 35 za mashindano ya CAF champion league na Confederation, ana goli 4. Kwa umri wake amewazidi wachezaji wengi kwa uzoefu wa mashindano ya CAF.Jesus Moloko kacheza mechi ngapi za kimataifa na ana magoli mangapi ?
mashindano ya CHAN nayo ni madogoo hapa Africa??Saido Kanoute ni mchezaji mchanga hajawahi kucheza kwenye mashindano makubwa ata mechi moja labda michuano ya Afrika ya wachezaji wa ndani, michuano ya Ligi ya Mabingwa na Confederation amecheza dk 500. Hajawai kufunga goli Wala kusababisha goli.