Fahamu kidogo kuhusu Sadio Kanuote, tukutane nusu fainali CAFCL

Labda unamzungumzia mchezaji mwingine huyu tunayemfahamu ametokea timu ya Libya na siyo unayoisema
 
Ahahaha kweli Luc hakukosea kuwaita mbwa koko. Unabweka tu bila point za msingi
 
So endelea kujifar
 
Kama simba itatinga hatua ya nusu fainali manara sijui ataficha wapi uso wake.....
 
Mudi katufundisha uvumilivu tutamvumilia tu mpaka atakapoanza kuwasha moto
 
Subiri kwa Mkapa.Muda ni mwalimu mzuri.Nyama pori italiwa na mifupa yake bila huruma.Kamwe hutasahau du Wana mtakalobebeshwa.Simba kama dula mbabe
 
Karibu sana group stage ya Champions mkuu.
 
Nusu fainali ya Ndondo cup au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…